Yaani mbona unapenda kujikaza hivyo, na kulazimisha fikra zako uchwara?, jikubali, go back and check haya yote nili post kilaza.., tokea CBD hadi nje.., mko hovyo wacha kujifariji, jikubali yaishe.., bado unaumwa?.., find something else to argue about tokea leo kuendelea.., unajirudia rudia sana na hauna jipya ya kuongezea ama kupunguza, ukweli umebaki pale pale.,We jamaa Don YF njoo hapa π Mwanza city outside CBD View attachment 2334654View attachment 2334655View attachment 2334656View attachment 2334657View attachment 2334658View attachment 2334659usiwe unailinganisha your village centers kwa Mwanza City Bro, toa heshima panapostahili.. Mwanza ni kubwa na imeendelea kuliko ARUSHA and Kisumu combined, ukiachana na ule ukubwa wa CBD ya Mwanza which is three times bigger to kidumu's CBD and two times bigger to Arusha CBD . Lakin bado Mwanza iko na maeneo yaliyoendelea na makubwa zaidi y.. shughuli za kiuchumi ndio wala tuzizungumzie .. HESHIMA UFUATE MKONDO WAKE
Empty domo domo, ata uweke evidence jamaa linateseka kweli, atapinga tu.., ako na wivu wa kike π π π π π π πsasa kila wakati unasema moshi hiki moshi kile.. ila picha zake hatuvioni.!?
please heb viskume tuvione kama pia moshi ni pasafi sana kamavile kisumu ama chigali ama addis
Hakuna uchafu kama huu nairobi π€£
Kwa vile Kenya sio nchi fukara kama zingine, ulisoma taarifa kweli?China imewachinjilia mbali Kunyalandπ
Fursa gani? Mwendazake alikuwa hovyo hajui uchumi,wajamaa na uchumi wapi na wapi?Sawa bendera cha upepo,kumbe ukibanwa na kukosa fursa za upigaji mambo yako hayaendi na unaamua kumcbukia mtu sababu ulibanwa,ila ukipewa mianya ya upigaji nakuona mambo yako yanaenda hapo ndipo unapomkubali mtu,
Kama mindset yako ipo hivyo basi Hii nchi tuna kazi kubwa sana yakupiga hatua,
Magu alikuwa na mapungufu yake ila makubwa kafanya na mpaka sasa kwenye displin ya usimamizi wa mali za umma hakuna aliyemfikia
Sawa mlinda legacy,zuzu ni mom wako π¬π¬Ulivyo zuzu umequote kitu hata huelewi. Akili kisoda.
Mbonan hawa π wasiwekeze Tanzania basi.., baada ya China, now Germany are setting shop kuteka soko la East Africa..., Kenya ndio base!Tanzania inazidi Kung'ara na kuaminiwa π
ManzeHizi ukienda Eastleigh utazipata kwa line zimejipanga kama tano zikifuatana. [emoji1787] [emoji1787]
Kitu kingine cha kushangaza kila mtu analalamika maisha magumu, si mfanyabiashara, mfanyakazi wala mkulima.Ii
Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.
Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wana siri siyo?Geita Gold nasikia wamesajili mjapan [emoji28][emoji28][emoji28]
Ugoromaleria hata posho ya wachezaji mtihani [emoji38]
Duh aiseee ndio naona sahizi aloo.Nilichokugundua leo pia ni kuwa mdhamini mkuu wa Kagera Sugar ni kampuni ya kimataifa ya mafuta, TotalEnergies. Imenifurahisha sana hii
Wamebaki kuongeza matozo lkn wapiii mambo hayaendi mazee.
Hizi timu zetu soon utasikia Nike, Adidas, puma, NB, haoo wameingia.Nilichokugundua leo pia ni kuwa mdhamini mkuu wa Kagera Sugar ni kampuni ya kimataifa ya mafuta, TotalEnergies. Imenifurahisha sana hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulivyo zuzu umequote kitu hata huelewi. Akili kisoda.
Kwnn hujaweka picha kama alizoweka Sama boy 255 uliogopa nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sio mwehu kama wewe, Mwanza ni Dar is slum ndogo wewe mrogi., yaani umejisema what u always do here, kumbe unajijua ulivyo mwehu.., mimi naweka kila kitu wazi wazi.., go back and check, tokea CBD to the outskirts.., kwanza yale hovyo ndio niliwacha.., kwa vile ukiendelea ndio sura ya ufukara inaongezeka, yaani mko hovyo ata uandike nini, utajifariji tu, facts are screaming kishenzi, ujinga wenu nahufahamu na uwerevu wako kilaza ndio ujinga wangu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nchemba economics! Yet kaondoa tax kwenye betting firms!
Safi sana, mana wasenge wanaona Watz co watu wa kuongea ongea basi ndiyo wameamua kutupiga kweli, sasa sisi tumepunguza matumizi ya bundles wakapige kwa baba zao mbwa hawa.
Umenifumbua kamanda hata sikuwa attension kabisaNilichokugundua leo pia ni kuwa mdhamini mkuu wa Kagera Sugar ni kampuni ya kimataifa ya mafuta, TotalEnergies. Imenifurahisha sana hii
Si kwasababu naye anataka kuanzisha yake au huenda keshaanzisha kwa kutumia jina la mtu mwingine.Nchemba economics! Yet kaondoa tax kwenye betting firms!