Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyie ni masikini chini ya umasikini fisi sana
masikini mnae msema wa TZ ana NG'OMBE ELFU ana kuku kama zote na mashamba shame on you kenya ety super power au super mackini and masikini wa BONGO anamiliki IPhone hahahaaa anfuga kuku na uku kula kuku ni chakula cha kawaida shame on you
 
ILA NAKUMBUKA MZOZO WA WAKUNYANI WALIKATAA MAINDI YETU TULIO SHIBA WAKASEMA YANA SUMU KUVU ALAFU BADAE NJAA IKAWAPIGA WAKAKUBALI MZIKI WAKAYALA IVOIVO... ASE SEMBE CRISIS IN KUNYANI TUNAJUA NJAAA INAWASUMBUA TULIZENI*********** ZENU HAHAHAHAHAAAAAAAA
 
Nairobi at night
mojaexpresswayco_20220824_133228_0.jpg
mojaexpresswayco_20220824_133341_2.jpg
mojaexpresswayco_20220824_133341_0.jpg
mojaexpresswayco_20220824_133341_1.jpg
 
Hapa napingana na wewe.
Wabongo wanapiga pesa nyingi tu mjini youtube Kingine Tanzania kuna contents nyingi tu hadi kuvutia watu kutoka nchi zingine kufata content Tanzania.
Sijakataa kuwa wapo wanaopiga pesa, nilichosema ni kuwa ukilinganisha contents za kiswahili na zile za kiingereza, wale wa kiingereza wanaadvantage kubwa ya kupinga pesa zaidi.
Hapa bongo ni rahisi sana mtu kupata subscribes milioni moja, mfano mdogo wangu channel yake ina subscribes laki tisa kasoro.
Ni kweli ni rahisi kupata subscribers wengi bongo kwasababu competition ni ndogo
Kuna channels za vijana wadogo wadogo wanapiga pesa za Google adsense kuliko hao uliowataja hapo.
Ni targeting tuu ya contents zako.
Hao wakubwa wanapiga tu pesa kwenye matangazo local yale ya kuingia mkataba na kampumi.
Hicho ulichosema kuhusu wakubwa ndicho nilichokisema mwanzo.
Hapa Africa ni South Africa pekee ndo wanapiga pesa ndefu zaidi kwenye Google ads kwa sababu cpc yao ni kubwa mfano click moja unaweza pata 0.90$ na kuendelea...ila hapa EA wala usidanganyike na kingereza...wote tunacheza kwenye 0.01$, hadi 0.05$ per click.
Bei ya CPC inategemeana na market (keyword na target audience), market kama za credit repair au insurance, advertiser wanalipa pesa nyingi sana lakini utakuta wengi wanalimit display ya hizo ads kwa specific area.
So ili upige pesa inabidi u-target nchi zenye CPC kubwa.
Unayoyasema ni kurudia yale yale niliyoyasema, unafikiri utaweza vipi ku target market zenye cost per click kubwa kama content zako ni za kiswahili?
CPC kubwa views wachache= pesa ndefu.
CPC ndogo views wengi= pesa ndefu.
Yu gerrit?
Kaka, nilianza kufungua adsense account pamoja na google adwords (siku hizi wanaita google ads) mwaka 2004, kwa hiyo naelewa fika mambo haya yalivyo. Miaka ya 2004 -2006, tulikuwa tunatengeneza web pages nyingi kwaajili ya adsense tuu, na kufanya ip cloaking, kabla ya google kuwa smart nakufanya de indexing.
 
kenya ni wataalam wa plopaganda tunawajua na blog mbao zenu za kujipa misifa uku amna kitu apo
Rudi shule kwanza kisha uje wewe boya, uko hovyo up stairs 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
mgeni wetu, TECHB, kuna photos za kisumu na eldoret niliku dedicatia jana.. usisahau kuviangalia.. sawa..
heb visit pg 20151 na 20155.. sawa dogo
Huyo ni dropout wachana na yeye.., St. kayumba type, sasa wako wanne humu, tutatumbuizwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyo ni dropout wachana na yeye.., St. kayumba type, sasa wako nne humu, tutatumbuizwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
we unasema mgeni nitawanyoosha tyu naomba mtulie baboons nyie
 
kwani payment ni based on language ama clicks? wacha kutulisha matango pori!
Payment inatokana pesa anayolipa advertser kwenye niche market., Kuna markets ambazo zinafaida kubwa kuliko zingine. Hizi zenye faida kubwa (m.f mortgage payment), advertisers huwa wana target ads zao zioneshwe maeneo fulani fulani tuu na hapo ndipo suala la lugha inapohusika.
 
Back
Top Bottom