Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hata sielewi, hao wasukuma wako na majina yao ya hovyo hovyo tu🤣🤣🤣 hiyo stendi yao ni kali mno lakini jina ni Nyamhongolo bus terminalMbona ikaitwa Ukora? ina maana wale wavivi ni wehu?😂😂😂😂😂😂