Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2332036
huu mji auna slums nakuthibitishia ww fisi maji
Mwanza city vs Kizingo area Mombasa.., kazi kwisha.., yaani 2nd City inalambishwa sakafu na ka sehemu in Mombasa!😂😂😂😂😂😂😂 sasa niki ipea Tudor je?.., Tanzania bado wako porini kwa kiwango kikubwa😂😂😂😂😂😂

Mwanza village town: hii👇👇 haijafika level ya kuitwa city walai, naifananisha na kasehemu tu in Mombasa na kananyoroshwa, aibu tupu eti mji wa pili😂😂😂😂😂😂😂😂😂..,
1661245159125.png


Kizingo Area Mombasa.,
1661245416272.png

1661245489555.png

1661245552044.png
 
Sasa lounge ndani ya terminal yenu imekua Mall hadi kila mtu hata asiye msafiri ana access nalo? Hivi wakuu hapa mnaelewa? Yaani wewe sio msafiri utoke zako huko ulipo uende KQ lounge kupumzisha kende tu? halafu unarudi zako nyumbani?
Chizi huyo, kwanza uwanja wao hauna security, abiria wanaotaka ku board wanachanganyika na watu wanaosindikiza abiria bubby, abiria waliokuwa checked in wanachanganyika na abiria ambao hawako checked, wote wanakaa nje can you imagine
 
View attachment 2332036
huu mji auna slums nakuthibitishia ww fisi maji
Tanzania yote inafanana, makazi uchwara za kishamba, sura ya ufukara umetapakaa kote kote, wacha tutumie satellite images, yaani Mwanza ni Dar nyingine kando ya Lake Victoria, maneno mengi wacha, ukweli uko wazi sana😂 😂 😂 😂 😂 😂

Google earth images ya Mwanza.., 2022!
1661247107524.png

1661247155536.png

1661247178108.png

1661247203996.png

1661247227568.png
 
In Tanzania, after Dar afadhali Arusha.., Mwanza ni aibu tu kama Dar is slum.., 😂😂😂😂.,
Nimejaribu kutumia satellite nione residential ya kawaida, with standard housing na iwe na density kama hii👇 ya Kisumu lakini nimeona uswazi kwa wingi umejaza jiji lote😂😂😂😂😂😂

Kisumu residential..,
1661247612241.png

1661247582125.png

1661247719460.png
 
Tanzania yote inafanana, makazi uchwara za kishamba, sura ya ufukara umetapakaa kote kote, wacha tutumie satellite images, yaani Mwanza ni Dar nyingine kando ya Lake Victoria, maneno mengi wacha, ukweli uko wazi sana

Google earth images ya Mwanza.., 2022!
View attachment 2332272
View attachment 2332275
View attachment 2332276
View attachment 2332277
View attachment 2332279
Kwnn moja unaweka picha za mawinguni alafu nyingine unaweka picha za chini, unaogopa nn au unadhani watu hawajaona kichapo mlichopokea kuhusu Mwanza, kama unaweka picha za mawinguni basi weka kwa miji yote au kama unaweka picha za chini basi weka kwa miji yote, inferiority complex inakuumiza sana
 
Chizi huyo, kwanza uwanja wao hauna security, abiria wanaotaka ku board wanachanganyika na watu wanaosindikiza abiria bubby, abiria waliokuwa checked in wanachanganyika na abiria ambao hawako checked, wote wanakaa nje can you imagine

Propaganda hatukubali hapa
 
Hili zoezi la sensa nadhan limefeli. Mpk sasa sijahesabiwa, na nimeshinda home siku nzima.. huko kwengine mfano kijijin si ndo itakuwa balaa

Wajipange upya, waongeze makaran
 
Back
Top Bottom