Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Eastlands" ya Kisumu.,
View attachment 2332508
View attachment 2332506
View attachment 2332507

Mamboleo Interchange.., Kisumu
View attachment 2332509

Kondele Flyover.., Kisumu
View attachment 2332515

Kisumu Airport/Busia road Interchange..,
View attachment 2332519
View attachment 2332516
View attachment 2332517

Nyamasaria Flyover., Kisumu
View attachment 2332520
kisumu infrastructure sophistication..
still a 2075 dream for mwanza and arusha combined👇🏽

Screenshot_20220823-160504_Earth.jpg
Screenshot_20220823-160637_Earth.jpg
Screenshot_20220823-160550_Earth.jpg
Screenshot_20220823-161355_Earth.jpg
Screenshot_20220823-161102_Earth.jpg
Screenshot_20220823-161327_Earth.jpg
 
Hiv unajua zile posh zote alizokua anapost ichoboy01 hazipo karibu na CBD...? Upande wa Rockcity mall kuelekea airport kote hujaweka hapa.. picha ulizoweka ni za upande mmoja tu wa Mwanza..
 
kisumu's civil engineering sophistication.. still a 2070 dream for mwanza and arusha combined👇🏽

View attachment 2332525View attachment 2332526View attachment 2332528View attachment 2332530View attachment 2332531View attachment 2332527
Kwa kichwa kibovu kama chako maendeleo ni calvart.? Zenye hata ukiziunganisha zote hazitawahi fikia urefu wa kigongo busisi bridge.? 🤣🤣 Google the benefits of Kigongo busisi bridge.. Mwanza enye iko na SGR .. wewe uache kutumia kichwa kama kizibo cha shingo
 
Hiv unajua zile posh zote alizokua anapost ichoboy01 hazipo karibu na CBD...? Upande wa Rockcity mall kuelekea airport kote hujaweka hapa.. picha ulizoweka ni za upande mmoja tu wa Mwanza..
Naweza weka ukitaka., nimeichambua Mwanza hadi nikaingia mashambani.., ata estates., Kisumu is classy bana, but ikija ukubwa na population naona Mwanza ni kubwa..., it is clearly seen
 
Sama boy 255 nimeona Mwanza 👇 👇 👇 mitaa mingi za kibabi hazina lami., ni vumbi., in Kisumu mitaa zote za Kibabi ni lami., maybe chache ambazo zinachipuka..,
1661263886499.png

1661263916232.png
 
Hili zoezi la sensa nadhan limefeli. Mpk sasa sijahesabiwa, na nimeshinda home siku nzima.. huko kwengine mfano kijijin si ndo itakuwa balaa

Wajipange upya, waongeze makaran
Zoezi ni la siku 7 so don't panic ila kulikuwa hakuna haja ya kusema leo iwe siku ya mapumziko.
 
Sama boy 255 nimeona Mwanza 👇 👇 👇 mtaa mingi za kibabi hazina lami., ni vumbi., in Kisumu mitaa zote za Kibabi ni lami., maybe chache ambazo zinachipuka..,
View attachment 2332548
View attachment 2332550
Google earth sometimes inachelewa kuji update sijui .? Most of the street roads in Mwanza city currently ziko na lami.. ingawa kwa picha ulizopost sijui, lakini mitaa mingi iko na lami mpyaa mimi ninazopicha kadhaa nilizowahi kupiga mwenyewe
 
Huo ni ukweli labda kama utaamua kupinga tu, na itakubidi upinge kwa Facts
Arusha nilisha ichambua kitambo sana.., kila kona, hadi clips za youtube.., mko na same looks mitaani in Tanzania, yaani kwa Kenya nyie bado, kwanza pale stage ya dala dala, in 2022 bado matatu ni zile Hiece design ya zamani, alafu panaka hovyo hovyo tu.., but aesthetics ya town iko poa kuliko Mwanza kwa maoni yangu.., Arusha looks classy somehow, ila mitaa ya raiya, wacha tu, mko na mwendo., 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Satelitte image ya Arusha..,
1661264657296.png
 
View attachment 2332568
Ila mzee baba unaiogopa ARUSHA wewe, 🤣🤣 Kwahyo hapa ni ARUSHA sehemu gani.?
 
Back
Top Bottom