Safi sana kasema vyema
Hawa jamaa ni Bure kabisa, Sasa hivi utasikia wakidai kwamba mafanikio ya kuongezeka kwa umaarufu wa Ligi kuu ya Tanzania ni kutokana na wakenya kufuatilia Ligi kuu ya Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Tunaanza ujenzi wa phase 3 sasa,na ni brt hasa sio hiyo yenu ya mchongoBrt yetu inaanza monday
Yupi huyo?Huyu vipi aisee, ndivyo alivyosema au amewekewa maneno mdomoni? Yaani tunavyokamuliwa mpaka mtu unapunguza matumizi ya bundles ndio imekuwa nafuu?
Banda la kuku, aka manicured godown 😂 😂 😂 😂 😂 😂
unasema banda la kuku uku unafikiri lini utafika tz hahahhaaaaBanda la kuku, aka manicured godown 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Banda la kuku, aka manicured godown 😂 😂 😂 😂
BANDA LA KUKU BABA YAKO ANALOBanda la kuku, aka manicured godown 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mtapigia mama kura ama mnamrudisha Zanzibar ikija mwaka wa uchaguzi? naona kawatesa kwa kodi..., natabiri atashinda tu bado, pengine CCM imteme kimaksudi.,
Shopping center, yaani muonekano wa maduka hivi eti airport., 😂 😂 😂 😂BANDA LA KUKU BABA YAKO ANALO
Niilikuwa namuona kama icon kipindi cha nyuma ila sasa ni afadhari hata trashhaya masenge ya hivi yanaboa sana
unadhani tanzania akuna super highway zipo sema atuna shobo sANA
Nani ka kuambia commuter train haina wateja kilaza? Kwanza hazitoshi, tayari zimekua chache, demand iko juu, usipo fika station mapema itabidi utumie matatu..,ilo jongoo lenu alina wateja ni hasara tupu apo
Hawa malazy hawapendi sana kuona picha za hizo dreamhouses zao 😂Inauma sana! sura ya jiji 80%.., mwanzilishi wa google earth abarikiwe sana! waongo na wakorofi tunawaumbua mchana kweupe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jiji lenu limejaa uswazi bongolala. Hiyo Kibera unayojiliwaza nayo ndio hii hapa. A very small areaOna mm naweka picha za chini hizi hapa zinaonesha ma slums wazi wazi, kwnn wewe unaweka picha za mawinguni, zoom kama mm tuone hizo slums, ona picha za chini hizi hapa wazi wazi kabisaView attachment 2331015View attachment 2331016View attachment 2331017View attachment 2331018View attachment 2331019View attachment 2331020
Alafu wanashinda hapa wakipiga kelele na hiyo mabati rolling mills yao called airport. With such lounges, they still wonder why JKIA was voted the best airport in Africa in customer serviceYaani JNIA iko na launge kienyeji sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., nikisema sisi sio wenzenu mnanuna., ndio mnatoka porini kwa vile hii imefunguliwa majuzi tu kulingana na kauli yako, haikuwepo😂😂😂😂😂😂
In JKIA restaurants ni kadhaa.., with a world class launge.., Baba Levo kauliza mwenzake; "Airport yao waijua?" fala akajifanya kulinganisha na JNIA, Baba Levo akajibu: "Wewe mwehu, umekufa wewe, we' sio mzima!".., 😂😂😂😂😂😂
View attachment 2331045
View attachment 2331049
View attachment 2331050
View attachment 2331052
View attachment 2331054
View attachment 2331055
View attachment 2331056