TECHB
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 703
- 1,632
kenya amjui kupiga picha nyieAta Somalia, Uganda, Zambia, yaani nchi fukara wanazo., kuna cha ajabu?.., ama wako juu yenu sasa? kukua navyo sio hoja., weka picha tu π π π π π π π
kenya amjui kupiga picha nyieAta Somalia, Uganda, Zambia, yaani nchi fukara wanazo., kuna cha ajabu?.., ama wako juu yenu sasa? kukua navyo sio hoja., weka picha tu π π π π π π π
mse anadhani naonyesha tv k
mse anadhani naonyesha tv kubwa , wtf?π€£
we angalia hii apa ww usilinganishe dar na icho kijiji cha nairobi kwenye majaruba
Lishamba π π π π π π π π πmse anadhani naonyesha tv kubwa , wtf?π€£
Yaani unajiliwaza wewe mchawi na kila kitu kiko wazi, hatuhitaji maneno, ni macho tu π π π π π π π πNmeshangaa sana aloo, hawa jamaa tumewaacha mbali mno ni vile tu wana midomo mipana na pia tunawafariji tu na hii battle ili wasijiue kutokana na ugumu wa maisha kule kwao![]()
Ndio mnaanza kuviona, bado mguu mmoja uko porini Tanzania.., na hapa fukara kama wewe utaona tu kwa google, mko hovyo yaniππππππππ
Saga sumu ubwieNo slums while Dar yote is one big slum! Are you going nuts?
Yaani unajiliwaza wewe mchawi na kila kitu kiko wazi, hatuhitaji maneno, ni macho tu π π π π π π π π
Fukara etieeeeeeNdio mnaanza kuviona, bado mguu mmoja uko porini Tanzania.., na hapa fukara kama wewe utaona tu kwa google, mko hovyo yani![]()








Dar is slum CBD kwa ground in August 2022.., vs Nairobi old CBD kwa ground(2021)..,
Dar is Mombasa tofauti skyscraper chache na BRT etc (Mombasa kwa ground in 2020 minus(bila) Nyali, Tudor, Bamburi etc)..,
Nairobi City.., 2021 far better than Dar 2022!!
ndio uchafu gani huu
angalia hii apa ww