Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata pesa ya kujenga footbridge hawana wakenya. sasa si waende tu china wakaombe loan ya kujenga footbridge hapo jameni.
Pesa ya kupambana na baa la njaa wamekosa alaf anaropoka mtu anakwambia economy ni kubwa njaa inawaendesha leo miez 9 sasa hakuna nafuu:D:D
 
I love the pic....bongo
IMG_0232.JPG
 
Hawa watu wanaelekea kubaya sana
jana waliandamana wafuasi wa jubilee
nao Wafuasi wa Nasa wakapanga kwenda kuwa toa kwa nguvu
kisa hapakuwa na polisi wala Magari ya Rasha rasha kama inavyo kuwaga kwa Nasa
Aisee investors wote wanakimbia sasa na ndio walioshika economy yote ya kenya:D:D:D:D:D
Amani ni ghali sana kuliko democracy
 
Kwa wale watu wa renders watch this pace pinnacle 70/45 floors twin towers,montave 40/36 floors twin towers, avic 43/35/28/25/24/24 floors six towers, tarda 35/35 floors twin towers, 88 Nairobi 44 floors and akili tower 30 floors, sasa sijui icho na wenzako mtajificha wapi yakikamilika????
 
Siku mtajafikia Nairobi kwa idadi ya majengo unitag pia
Hahaha kariakoo has to be fixed kupunguza aibu...lol.Hii tunaipea tu umoja phase 2 iifunike proper...... wachaneni na Nairobi poor LDC dwellers. . Level yenu ni Maputo ama lilongwe
 
Back
Top Bottom