Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya ukiwaonesha hii kitu wanachokaga kabisa, wanakosa la kusema
1ad8d37109edc66c879cc354ba7107d6.jpg
 
Kwa wale watu wa renders watch this pace pinnacle 70/45 floors twin towers,montave 40/36 floors twin towers, avic 43/35/28/25/24/24 floors six towers, tarda 35/35 floors twin towers, 88 Nairobi 44 floors and akili tower 30 floors, sasa sijui icho na wenzako mtajificha wapi yakikamilika????
tuwekee kwanza picha za mafundi wanaojenga pinnacle tuone wakiwa site.
 
Halafu Nairobi Mna bahati mbaya sana na huo udongo mwekundu . Panaonekana pamechakaa
wazee wa matope hawa....unakumbuka zile screenshot za matope nilikuwa naziweka hapa wakati ule?.

nilikuwa nafanya hivyo nikijua kwamba ardhi ya nairobi ni ya udongo mwekundu unaopeleka uwepo wa matope kila sehemu ya jiji.
 
Mzee wa iphone 7 tulishamuumbua siku hizi simuoni sana:D:D:D
tangu ulipo mnyorosha siku ile,amekuwa akiingia jf kwa uoga sana....sijui anaogopa nini masikini.

tatizo hawa jamaa huwa wanatuchukulia poa sana....siku wakibahatika kujua uhalisia wetu ndio watachanganyikiwa zaidi.

wataogopa hata kutu-quote.
 
Kwa wale watu wa renders watch this pace pinnacle 70/45 floors twin towers,montave 40/36 floors twin towers, avic 43/35/28/25/24/24 floors six towers, tarda 35/35 floors twin towers, 88 Nairobi 44 floors and akili tower 30 floors, sasa sijui icho na wenzako mtajificha wapi yakikamilika????
zikwapi hzo renders tuzione plz :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
tangu ulipo mnyorosha siku ile,amekuwa akiingia jf kwa uoga sana....sijui anaogopa nini masikini.

tatizo hawa jamaa huwa wanatuchukulia poa sana....siku wakibahatika kujua uhalisia wetu ndio watachanganyikiwa zaidi.

wataogopa hata kutu-quote.
mwambieni arudi yale yalishaisha tunaanza maisha mapya:D:D:D:D:D
 
Hii Ndio superhighway? Watu wa Developed nation in Africa wanakatiza katikati ya barabara utafikiri na wao magari. Hahahaha. Kutumia tu barabara Bado kazi , je vitu vingine ??? Utasikia ni zebra crossing hiyo , haha, Kama naiona vile Ila forced , sijui nani kachora na chaki Au?
Brathe umeona izo white strips kwa barabara zinaitwa zebra crossing ambapo watu huvukia barabara
 
Back
Top Bottom