joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
In your last election mliuana kuliko Kenya in 2013, 2017 and 2022 combined.
Hii inaonesha wenye ugomvi Kenya ni wakikuyu.kenya is so peaceful after election, today i arrived home kericho and found everybody going about their business so peacefully without any interference.
ni baridi tu ndo mingi sana!View attachment 2327688View attachment 2327689
Oohhh nice upper cut [emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.
Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).
Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.
Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tafadhali sana naomba mkunya yeyote asifungue hii video kama ana ugonjwa wa moyo, presha au kisukari tafadhali sn msije kusema sikuwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hv huko tik tok wanaanzisha hadi ugomvi kwa ajili ya kudanganya nyimbo za Tanzania ni za kwao,jamaa ovyo kweli haoNinyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.
Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).
Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.
Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watasingizia uchaguzi, hawakubali kushindwa hao watu.View attachment 2328992Rwandan and Tanzanian stockmarkets ranked among Africaβs top six performers
Rwanda Stock Exchange and Dar es Salaam Stock Exchange registered 7.2 per cent and 9.1 per cent in the 12 months to June.www.theeastafrican.co.ke
Hawa jamaa ni Bure kabisa, Sasa hivi utasikia wakidai kwamba mafanikio ya kuongezeka kwa umaarufu wa Ligi kuu ya Tanzania ni kutokana na wakenya kufuatilia Ligi kuu ya TanzaniaSasa hv huko tik tok wanaanzisha hadi ugomvi kwa ajili ya kudanganya nyimbo za Tanzania ni za kwao,jamaa ovyo kweli hao
Wajinga sana haoHawa jamaa ni Bure kabisa, Sasa hivi utasikia wakidai kwamba mafanikio ya kuongezeka kwa umaarufu wa Ligi kuu ya Tanzania ni kutokana na wakenya kufuatilia Ligi kuu ya Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uliumia sana naona, ni 2022 kilaza pole nyongwaaa kabisa π π π π π π π π πLies lies [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2328784View attachment 2328785View attachment 2328786
Ni kweli kwenye kupanda kwa bei imekuwa mashindano kwa wafanyabiashara, watu wanajipangia wanavyotaka utadhani hakuna mamlaka za kudhibiti mfumuko wa bei.Mama atupishe, ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, watu wanajipangia bei wanazotaka mama akiulizwa anakwambia dunia nzima gharama za maisha zimepanda pia vita vya Russia na Ukraine imechangia, very lame excuse. Ukweli ni kwamba sio mtu yeyote anafaa kuwa Rais japo mtu yeyote anaweza kuwa Rais.
Logic.1.Kulingana na comment yako ni kwamba Watz hawasafiri kabisa.
2. Ulitaka idadi ya Watz kwenda kutalii Kenya iwe sawa na idadi ya Wakenya wanaokuja Tz kutalii je unafahamu kwamba Tz ina vivutio vingi kuliko Kenya?
3. Huoni kama hiyo idadi ya Watz 76,000+ wanaoenda kutalii Kenya haitofautiani sana na idadi ya Wakenya 80,000 wanaokuja Tz kama utaangalia wingi wa vivutio tulivyo navyo? Je huoni kama Watz wana pesa nyingi licha ya kuwa na vivutio vyote vinavyopatikana Kenya lkn bado wanaenda?
Huyu vipi aisee, ndivyo alivyosema au amewekewa maneno mdomoni? Yaani tunavyokamuliwa mpaka mtu unapunguza matumizi ya bundles ndio imekuwa nafuu?Chizi huyo pia ametoa taaarifa kuwa kipindi cha mama gharama za vifurushi vya data vimekuwa kuwa bora kwa gharama nafuu
dopchinski: Kuna article nimesoma kumbe ni kweli babu alimtolea maneno makali huyu baba yetu kwamba Urais utamponyoka baada ya kukaribia kuupata.atimes ancestors can be very ruthless and unfair.... but why wangwana.., why go thru' all these..? View attachment 2328950
That's Tanzanian inferiority complex, usigeuze mkeka., it has been proven again and again that u only hate what is above u not below u., stop mentioning Kenya out of #jealousyCan we stop this Kenyan madness kusema sijui 6th duniani, ufala huu. Why not do it to our best . We are poor nation, very poor .
Tazama hapa ni Galatasaray , Turkey. View attachment 2328073
Wacha kulazimisha mawazo yako potovu hapa bongolala. It's clear hiyo bati ya red ni fence ya ujenzi.Kwnn uweke filter ndiyo upost? Nyie picha zenu bila filter huwa hamjiamini kabisa, haya niambie huku nyuma ya jengo kwenye haya matandabui a.k.a ma spider [emoji2765] mbn huweki picha yake tuone [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2328907View attachment 2328908