Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wamelimana mangumi na mateke ile mbaya. Chebukati amepigwa hadi akatoroka bila kutangaza mshindi. Ni kama movie. Najua The best 007 anafurahia sana. Lakini Chebukati anarudi kutangaza mshindi.
 
Njia mpya ya MGR kwenda bandarin
Screenshot_20220815-154925_YouTube.jpg
Screenshot_20220815-154931_YouTube.jpg
Screenshot_20220815-154938_YouTube.jpg
 
Ruto!!! Kenyatta wamemchezea shere Odinga 😆😆😆😆
 
Umenisahau na mimi. Mimi nasupport Odinga. Nchi ya Kenya chini ya Ruto sina imani nayo. Ruto ataharibu hii nchi. Mark my words. Corruption ya hawa watu ipo juu sana. Ninukuu in future. Sioni Kenya ikiwa King wa hii region kwa muda mrefu. Uchumi wa Kenya sijui hatima yake itakuwa vipi. Maoni yangu tu.
 
Umenisahau na mimi. Mimi nasupport Odinga. Nchi ya Kenya chini ya Ruto sina imani nayo. Ruto ataharibu hii nchi. Mark my words. Corruption ya hawa watu ipo juu sana. Ninukuu in future. Sioni Kenya ikiwa King wa hii region kwa muda mrefu. Maoni yangu tu.
Acha kujitetea mapema 😅😅
 
Umenisahau na mimi. Mimi nasupport Odinga. Nchi ya Kenya chini ya Ruto sina imani nayo. Ruto ataharibu hii nchi. Mark my words. Corruption ya hawa watu ipo juu sana. Ninukuu in future. Sioni Kenya ikiwa King wa hii region kwa muda mrefu. Uchumi wa Kenya sijui hatima yake itakuwa vipi. Maoni yangu tu.

Kilichomponza Uhuru ni laana ya Awamu ya 5, Mungu yuko kazini, Uhuru ni snitch, hata huku Tanzania kuna masnitch wengi tu siku yao inakuja!
 
Umenisahau na mimi. Mimi nasupport Odinga. Nchi ya Kenya chini ya Ruto sina imani nayo. Ruto ataharibu hii nchi. Mark my words. Corruption ya hawa watu ipo juu sana. Ninukuu in future. Sioni Kenya ikiwa King wa hii region kwa muda mrefu. Uchumi wa Kenya sijui hatima yake itakuwa vipi. Maoni yangu tu.
sgr itafika Uganda kweli?
 
Back
Top Bottom