Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama IT yenyewe ndio hiyo ya kuhesabu kura mil.14 kwa siku sababu taabu sana.Shida mnajifunza kwa IT ya wizi.
 
Aliyekuwa na macho ya kuona opportunity ndani ya tatizo hayupo, sasa hivi tunasema sisi sio kisiwa Hatuwezi mpaka huko duniani waache kupigana.
Unayemwongelea ndiye aliachana na project za Gesi kwa kigezo Cha mikataba mibovu akashindwa kurekebisha huenda leo tungekua tunauza tayari
 
Sema wewe ni zuzu TISS NI CCM TENA WENGI NI MAKADA VILAZA WATOTO WA MAKADA ...TISS IMEJAA WATU WAPUMBAAVU KWELIKWELI wachache sana ndiyo wana chembe ya akili ....ukisikia uchwawa basi makao makuu ya uchawa na machawa ni CCM na TISS

Usichokijua ni sawa sawa na usiku wa giza totoro.
Anyway, unachokiona ndicho kilichoamuliwa uone.
Mimi katika kitu huwa siwaelewi nyie watu ambao siasa inawatafuna ubongo ni how come haya maneno hukuyasema awamu iliyopita ila unayaona awamu hii! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wa Odinga na Uhunye polen sana.
Freedom is coming. I was very interested since day one, kutaka Ruto awe rais
View attachment 2323875
Haya sisi tuliyajua kua kenya haitatawaliwa zaidi ya kikuyu na kalenjin ile game ya uhuru kujifanya kumuunga raila ilikua siasa za watoto wa nursery πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nauliza tuu,upatikanaji wa maji huko Nairobbery ni kiasi gani?

Dar 100% next year, currently ni 97% πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-193150.png
    152.7 KB · Views: 36
Mambo ya sgr at high level discussions.Hakuna kulala Kazi juu ya kazi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-162028.png
    121.5 KB · Views: 40
Kuna shida mahali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…