joto la jiwe Nimesema hapa mara nyingi kwamba ikiwa mtu fulani atashika usukani basi uchumi wa Kenya utakuwa mashakani. Ni maoni yangu tu. Battle hii haitakuwa na ladha tena kwangu. Itabidi niitazame hii battle kwa mbali bila michango mingi.Matukio gani hayo yakitokea yatasababisha uadimike hapa JF?, Usifanye hivyo Tony254, hii forum bila wewe itapooza sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Returning officer wa Embakasi East kapotea mysteriously duh hapa sasa kazi kuna mchezo unapangwa hii ni recipe for violence.Nyenyenyenye uchaguzi huru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mijizi tu
Wanaume wa Nakuru wako wapi?
Kenya hakuna opposition vyama vyote dhaifu bila coalitions hamna siasa na structure ya coalition inatofautiana kila uchaguzi due to changing allegiances.Inawauma sana kuona the level of transparency in this election which is still a pipe dream in your country.
Mlitarajia kuona masanduku ya kura yakipotea, polisi na jeshi kutumiwa kuterorize opposition areas na mambo kama hayo jinsi inavyofanyika huko kwenu. Ole wenu!
Unajua hawa wakunya wanafikiri ofisi ya makamu wa raisi ni lile jengo pale posta ya zamani next to forodhani secondary school kumbe lile jengo lilikuwa na vitengo tuu vya wizara na nishati na madini pamoja na makamu wa raisi. Ila ofisi ya makamu wa raisi ipo opposite na gate ya kuingia ikulu.Ofis ya makamu wa rais ziko nyingi na tena maeneo tofaut tofaut hii hapa moja wapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2322298
Hiyo sio ofisi ya makamu wa raisi. Hata shule zote zimeandikwa ofisi ya raisi utasema raisi ndio anakaa hapo? Ofisi ya VP iko next to dar state house.Unafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?
View attachment 2322324
We kilaza hii ndio ofisi ya makamu wa Raisi Dar es salaam. Hili jengo halina picha nyingi maana pale ni next to state house kupiga picha hairuhusiwi.Unafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?
View attachment 2322324
Hata shule zetu zote na baadhi ya hospitali zimeandikwa ofisi ya raisi tamisemi kwahiyo hizo shule ndio ofisi anamokaa waziri wa tamisemi au raisi? Sometimes utumie akili kidogo.Kujichangamsha kivipi wakati jengo lenyewe limeandikwa hivyo?
Kazi anafanyia hapa akiwa DarKwa hivyo sasa hivi anafanya kazi chini ya miti?
Akishika Ruto unamaanisha? [emoji16]joto la jiwe Nimesema hapa mara nyingi kwamba ikiwa mtu fulani atashika usukani basi uchumi wa Kenya utakuwa mashakani. Ni maoni yangu tu. Battle hii haitakuwa na ladha tena kwangu. Itabidi niitazame hii battle kwa mbali bila michango mingi.
The best 007 natumai umenielewa sasa nilikuwa nazungumzia kitu gani.
Cc Geza Ulole.
🤣 Wacha kuwa zuzu we jamaa, kwahyo kukubali kuongozwa na mwanamke ndio ustaarabu.?Safi Sana hii,huko Nakuru inaonyesha watu wamestaarabika..
Hamtajuta kuchagua wamama maana wanajali na ni waadilifu.
Huu ndio kenya sasa , please mlinde amani mlinayoHivi kuna la kujifunza Kenya kweli na huu wizi?
Violence na wakunya ni kama mizizi na ardhi , kama unapenda watu wako huwezi ruhusu media zitangaze matokeo zenyewe . Itatokea fujo tu maana kufanya lobbying kwa waandishi watangaze Fake result ni rahisi mno .Returning officer wa Embakasi East kapotea mysteriously duh hapa sasa kazi kuna mchezo unapangwa hii ni recipe for violence.
Wanaiga USA lakini wanasahau US wana mfumo wa electronic katika upigaji kura na matokeo yanakuwa live in real time kwa display at the national poll Centre ambayo kila media inatangaza matokea from that single source.Violence na wakunya ni kama mizizi na ardhi , kama unapenda watu wako huwezi ruhusu media zitangaze matokeo zenyewe . Itatokea fujo tu maana kufanya lobbying kwa waandishi watangaze Fake result ni rahisi mno .
Wanahatarisha maisha ya raia wa kawaida wakate viongozi wana security
Endelea na mapambano dhidi ya wakenya, huyo mpuuze tu.Heheh nimecheka sana unajua nikiangalia zile comment zako za nyuma na sasa hvi hua nacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww kwasababu unachuki na mtu basi kila kitu kibaya kwake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Punguza jazba kwanza alaf uje tuongee sasa
Matokeo ya urais ndiyo yenye kuzusha fujo na mapigano, Dunia inafuatilia matokeo ya urais, we are not interested with your local seatsYani kwa huyo kilaza huu uchaguzi imekuwa wa hovyo all of a sudden kisa TV stations zimewacha kutoa kura walizopata wagombea wa urais[emoji23] Vipi kuhusu matokeo ya ugavana, wabunge, maseneta na wawakilishi wanawake ambazo zinaonyeshwa live na idadi ya kura walizopata washindi?
Itakuwaje wameacha kutangaza wakati TV stations zote zimewacha their normal programming na kufocus kwenye huu uchaguzi? Yeye anataka kuona nini ndio ajue media zetu zote zinaonyesha matokeo ya huu uchaguzi 24/7?
Sasa mbona mumekatisha kurusha" live" matokeo ya kura za urais?, Mnakumbuka ilivyokua katika uchaguzi wa 2007 hadi kukatokea machafuka ya kuchinjana?, Kosa lile lile ndio mnalirudia tenaHuyo anaongea hivyo na kusahau kwamba matangazo ya uchaguzi live kwenye vyombo vya habari huko kwao ni ndoto ambayo haitawahi timika
Ile gari toka Uganda iliyokamatwa kule ikiingiza voters toka Uganda umesahau?Inawauma sana kuona the level of transparency in this election which is still a pipe dream in your country.
Mlitarajia kuona masanduku ya kura yakipotea, polisi na jeshi kutumiwa kuterorize opposition areas na mambo kama hayo jinsi inavyofanyika huko kwenu. Ole wenu!
@Nicxie hii ni Moja wapo ya Mambo yanayofanya uchaguzi kuwa wa hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]Acha tujifunze namna ya kuiba kura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]