Inawauma sana kuona the level of transparency in this election which is still a pipe dream in your country.Kenya ndio nchi ya ovyo kabisa kwenye mambo ya uchaguzi ikiwa sensa tu pekee kulikua na majanga kibao sembuse uchaguzi πππ tangu lini mwizi akachaguliwa na kuchagua
Kuna haja gani ikiwa kuna tume ya uchaguzi wakat kila mtu anamatokeo yake mkononi huo ndio uongozi mliofundishwa au ndio gear za kupunguza speed za kupasuanaππHuyo anaongea hivyo na kusahau kwamba matangazo ya uchaguzi live kwenye vyombo vya habari huko kwao ni ndoto ambayo haitawahi timika
Mlidanganywa na nani?? πππ hvi nyinyi nani aliwaroga ??Wanawake wamechukua uongozi wa Nakuru county. So encouraging. Our politics is becoming of age
Tuonyeshe pia na ofisi ya makamu wenu wa Rais tucheke kidogo ππHii sio Ikulu bali ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe π
Meza wembe kama unaumwa sanaMlidanganywa na nani?? πππ hvi nyinyi nani aliwaroga ??
Sio inatuuma tunacheka kuona vile utoto na ujinga ulivowajaa πππ yani ndio maana miaka yote munaburuzwa na makabila mawili tu toka mumepata uhuruInawauma sana kuona the level of transparency in this election which is still a pipe dream in your country.
Mlitarajia kuona masanduku ya kura yakipotea, polisi na jeshi kutumiwa kuterorize opposition areas na mambo kama hayo jinsi inavyofanyika huko kwenu. Ole wenu!
Nimeamini new world order inafanya kazi πππππMeza wembe kama unaumwa sana View attachment 2322293
Under construction in Dodoma CityTuonyeshe pia na ofisi ya makamu wenu wa Rais tucheke kidogo ππ
Ofis ya makamu wa rais ziko nyingi na tena maeneo tofaut tofaut hii hapa moja wapo ππππππππTuonyeshe pia na ofisi ya makamu wenu wa Rais tucheke kidogo ππ
Inaonyesha uwazi bongolala. Lakini utajuaje hili wakati huko kwenu Magu alipata zaidi ya 84% za kura zilizopigwa na kupatapa 90% ya wabunge kwenye bunge lenu la taifa? Utaelewaje???Kuna haja gani ikiwa kuna tume ya uchaguzi wakat kila mtu anamatokeo yake mkononi huo ndio uongozi mliofundishwa au ndio gear za kupunguza speed za kupasuanaππ
Hii hapa nyingine iko under construction dodoma πππππTuonyeshe pia na ofisi ya makamu wenu wa Rais tucheke kidogo ππ
Kenya hata youtubers uwakuti wakishika kurekodi mtaani kiholela holelaWhy don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understand
what I want to say.
Kenya wasichana wadogo Kama hao hawawezi kutembea wenyewe bila "escort", there is no peace there, nchi imejaa wakora kila pembe, nani anataka kutembelea Kenya?, Labda wale wanaotoka mbali wasioijua vizuri Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uhehehe magu bado anawasumbua vichwa vyenu tu ππ kisa aliitwa best president in africaInaonyesha uwazi bongolala. Lakini utajuaje hili wakati huko kwenu Magu alipata zaidi ya 84% za kura zilizopigwa na kupatapa 90% ya wabunge kwenye bunge lenu la taifa? Utaelewaje???
Hawezi kurudi tenaHii hapa nyingine iko under construction dodoma [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2322304
Magu alipoingia tu na waziri wake makamba walivunja nyumba zote kwenye hilo bonde,kunyan bado wana picha zamani ili wafosi tufanane tuwe wote machafu chafu kama waoPicha ya kwanza ni ferry miaka ya 1990s, picha ya pili ni bonde la mto msimbazi ambapo nyumba zishabomolewa kupisha mradi mkubwa wa mto msimbazi.
Na haya ni makazi ya makamu wa rais dodoma ππππInaonyesha uwazi bongolala. Lakini utajuaje hili wakati huko kwenu Magu alipata zaidi ya 84% za kura zilizopigwa na kupatapa 90% ya wabunge kwenye bunge lenu la taifa? Utaelewaje???