joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Lete data ya 2022 sio hii ya 2020Tatizo una mdomo mrefu kama chiriku. Papara papara mingi. Soma hapa kisha uombe msamaha kwa kujifanya mjuaji kwa mambo usiyoyajua. Nikikuambia kwamba nchi ya nje ambayo Wakenya wengi zaidi wanaishi ni USA unastahili kusikia sio kupinga hovyo. Soma hapa
View attachment 2320265
Hahahaha, wacha kuchekesha watu, Tanzania ndio inaongoza ukanda huu katika kupokea FDI, nenda kwenye kilimo, viwanda, usafirishaji, madini na utalii utaona jinsi private sector onavyofanya kazi, ila katika huduma za kijamii Kama housing, water, Electricity, railway and food security, lazima serikali iwe mstari wa mbele, hii ndiyo sababu "cost of living is lower in Tanzania, and we don't have slums, We are not a failed stateHakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.
WaTZ utani jadi yetu,nyie msiopendana ndio kila kitu mnachukulia seriousWabongo wengi wana chuki ya kiukweli dhidi ya Wakenya, Wakenya wanachukulia tu utani.
Na sisi tunasema ni marafiki na ndg zetu lakini mbona gap ni kubwa sana? Au hatuwatumii ipasavyo?Wanafanya maendeleo, hawa jamaa hawana muda wa kupoteza na mambo ya kijinga
Kazi imeanza. Halafu utawasikia baadhi ya watz eti uchaguzi wao ulikuwa huru na haki tunapaswa kuwaiga.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha kali sana utadhani Ulaya au nchi za baadhi za America zenye uchumi wa juu. Tanzania tunakuja vizuri [emoji122][emoji122][emoji122]
Nilifikiri unaniambia hayapo, kumbe yapo ila tatizo yamejengwa na serikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]100% ya skyscrapers zote above 20 floors (majengo yenye zaidi ya ghorofa 20) hapo Dar es Salaam yamejengwa na serikali ya Tanzania. Mmeshindwa kuvutia muwekezaji hata mmoja wa kujenga skyscraper hata moja hapo Tanzania halafu bado mnataka kushindana na sisi?
Nn shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaiongelea hii Yanga inayosubiri kubadilishana mchezaji na singida United? [emoji23]
Yanga hiihii yenye mashabiki pilau na uongozi wa migogoro chungu nzima!
chini ya waba! π€£π€£Nyuma ya pazia. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2320442
Hapa Uhuru kafanana na Mandonga mtu kazi.πchini ya waba! π€£π€£View attachment 2320537
Akina geza and his choir mates wanaumwa na maumivu saii wanatamani bloodshed sana kenyaSome people are taking notes
Donation sasa ndio unaringia mseeAngalia comment za wanigeria awaamini kama kama hii police station ni TZ,hapa ingekua jirani zetu wa north wangeponda tuView attachment 2320017View attachment 2320018View attachment 2320019View attachment 2320020
Ala pole sana kwake dexter jamaa hujitahidi sana pande ya marketing[emoji2]