Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Kuna nchi iliyokatazwa kuzalisha mbegu au vifaranga vyake yenyewe?, Ni wazi kwamba vifaranga vya kisasa ni bora vinafaida kiuchumi, jaribu kuchukua hao kuku wa kisasa uwapamdishe na uwache watotoe uone vifaranga vitakavyozaliwa, hakuna aliyekatazwa kufanya hivyo.

Hivi bado unachukulia mfano wa Tanzania kulisha Kenya Kama mafanikio wakati nimekupa mifano ya Japan na Uholanzi kulisha Dunia?. Kama Tanzania tutatumia Elimu ya GMO, tutazalisha mara x50 ya hivi Sasa





Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kwa vile utotoaji si GMO kama ulivyodai! Usigeuze topic jibu swali langu la utotoaji wa vifaranga na GMO! Ukiwa hujui kitu nyamaza na si kudai utotoaji wa vifaranga ni GMO! Wacha kupotosha!
 
Huyu African American analinganisha maisha ya Johannesburg na Nairobi halafu mbuzi fulani huwa zinasema kwamba Nairobi haiwezi kutajwa katika sentensi moja na Johannesburg.
 
Wenzetu wana makampuni makubwa sana ya real estate na well developed housing finance wanachukua ardhi kubwa wanajenga mji watu wananunua kwa mortgage.
Daah kaz bado sana hapa
 
Una mawazo finyu sana ww lol eti mwamba angekuwepo
 
Huyu African American analinganisha maisha ya Johannesburg na Nairobi halafu mbuzi fulani huwa zinasema kwamba Nairobi haiwezi kutajwa katika sentensi moja na Johannesburg.
Hehehe najitokeza,kulinganisha gharama hakufanyi mue level moja na Jozi,mbuzi mwenyewe,uko serious unamsikilzia uyo choko anaongea kama demu ufala gani huu
 
Tatizo sio diamond kuperform kunyaland, tatizo ni the style diamond used to land and take off from that shithole, the expensive logistics are all matter on all these shenanigan debates taking over kunako kunyaland, the levels even their president doesn't come across (without stealing people's money)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…