Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hela hiyo mimi nikikaa hata grocery ya bia tuu nitakaa kama mwizi maana siwezi kujiamini kwa kiasi hicho cha pesa.
 
Uganda is more political and economic stable than kunyaland! What is he bragging about? Huge Debts written all over matakoni?
 
Wenzetu wana makampuni makubwa sana ya real estate na well developed housing finance wanachukua ardhi kubwa wanajenga mji watu wananunua kwa mortgage.
Hata hivyo pia hawana maajabu yoyote hao wazungu, Bongo tu tumezubaa, ila Nina uhakika kama mwamba angekua hai tungeshuhudia yote haya tena kwa ukubwa ambao tengeshangazwa wengi wetu, sipati picha zile plan za kuibadilisha magomeni sunna mpaka Kinondoni zote zile kuanzia panda shuka hadi manyanya na viunga vyake, ila viongozi tuliopo nao sasahiv ni wapiga domo tu, hata sijui hizo plans ziliishia wapi pia 🤦
 
Wenzetu wana makampuni makubwa sana ya real estate na well developed housing finance wanachukua ardhi kubwa wanajenga mji watu wananunua kwa mortgage.
Ndio maana nilisema kwa Kuanzia TBA na Nhc wawezeshwe wao ndio wapime viwanja kulingana na wanavyotaka kufanya development.

Sisi tukiona viwanja vimepimwa na halmashauri tunasema mji umepanga.
Style yenyewe ya kupima viwanja ni ile ile haina ubunifu.

Mimi mortgage naona itasaidia sana kuliko kuruhusu watu kujijengea hovyo, mtu anajenga chumba kimoja anakaa miaka kumi anajenga cha pili, si bora alipe mortgage tu.
Serikali iweke utaratibu nhc na tba wakijenga nyumba wanashirikiana na Tanesco na watu wa maji nk, barabara wanazipiga lami.
Miundombinu yote weka chini ya ardhi hii itapunguza hata rushwa. Hakuna rushwa ya kiwanja wala ya kuungiwa umeme na maji
 
Ukitaka kujua kama hawa wajinga hawawezi kuishi bila sisi, Sisi ndio tunasimamia uchaguzi wao, sisi ndio tuna wa influence wachague mtu tunaemtaka 🤣🤣🤣 kweli tuna wacontrol hawa jamaa .. ni mwendo wa kula tax payers money 🤣🤣 Tony254
 
😁😁😁😁 Yaani wanatuwaza aisee ni kisanga!

Wanajifanya wao mabepari hawakati ujamaa wakati kichinichini wanakubali swaggs za wajamaa 😁😁😁😁

 
Bepari gani anamtegemea mchina mpaka hela ya nauli? 😁😁😁😁
Na wachina ni watu wabaya sana wakishajua kama nchi yako ni vibepari uchwara 🤣🤣🤣 wanamiliki mpaka barabara huko kwao sikuhiz kwa jina la PPP according to some ignorant Kenyans in here 🤣🤣🤣 Dah.! Let's wait and see..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…