Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

who cares afteral.!

ata mzikusanye gdp zenu nyote, bado hamtufikii..

it makes me reflect so much of..

Russia
vs
Nato

Mpo na matatizo ya akili ninyi kutokana na siasa za ubepari zilivyo waminya makende hadi kukosa chakula, hao Ethiopia mnaosema ni shithole wamewazidi GDP lakini bado mnadhani ni nchi ya hovyo, hakuna nchi mtakaa muelewano nayo kutokana na ujinga wenu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unafanya nini Nairobi kama unasema kuna robbers wengi? Si urudi nyumbani Bongo.
Haha kumbe unajua Nairobi kweli ni Nightrobbers eh! Nyie hakuna kazi mnaweza zaidi ya wizi! Nimeishi Kabete kwa miaka 7 sasa niko Tz. Hata uchumi mnaoringia ni wa wazungu wa Karen na majizi machache ya kikenya!. Lakini landless wako wengi mno!. Kenyata Family owns the whole province -Taita Taveta--. Address your inequalities before entering into this primitive arguments. Hata sasa mko kwa uchaguzi kati land grabbers and common wananchi.

Wakati wa majadiliano kuhusu mambo ya ardhi tuliwaogopa sababu ya tabia chafu ya ujambazi na land grabbing.
 
Mpo na matatizo ya akili ninyi kutokana na siasa za ubepari zilivyo waminya makende hadi kukosa chakula, hao Ethiopia mnaosema ni shithole wamewazidi GDP lakini bado mbadhani ni nchi ya hovyo, hakuna nchi mtakaa muelewano nayo kutokana na ujinga wenu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hebu punguza bangi mzee. Ethiopia gdp yao inatoshana na ya Kenya ilhali wapo watu 110 million wakati Kenya tupo 50 million.
 
mambo high-profile kama haya ni jambo geni sana kwenu! na wala hamjavizoea hasa, na ndo sababu imepata kuzoa a record 18likes! within just 1hour!. (a record 'likes' never seen before eversince nijiunge na huu uzi)....

kisa... mambo kama haya sio class yenu, bali ni mambo za wengine watu..

vitu kama hizi wachia tu SA, kenya, moroco, algeria na egypt.

i begg u stick to your lane and class please.. View attachment 2314560View attachment 2314561View attachment 2314562
Acha wivu mzee.
 
Haha kumbe unajua Nairobi kweli ni Nightrobbers eh! Nyie hakuna kazi mnaweza zaidi ya wizi! Nimeishi Kabete kwa miaka 7 sasa niko Tz. Hata uchumi mnaoringia ni wa wazungu wa Karen na majizi machache ya kikenya!. Lakini landless wako wengi mno!. Kenyata Family owns the whole province -Taita Taveta--. Address your inequalities before entering into this primitive arguments. Hata sasa mko kwa uchaguzi kati land grabbers and common wananchi.

Wakati wa majadiliano kuhusu mambo ya ardhi tuliwaogopa sababu ya tabia chafu ya ujambazi na land grabbing.
Umerudi TZ ili kutoroka uchaguzi sio? Ila bado hujaeleza ni sababu gani ilikuleta Kenya na kufanya uishi miaka 7 kama Kenya ni mbaya?
 
Hata huna aibu kuniambia ati yangu 2017 Bado hamjamaliza kujengwa reli ya 300 meters. If it's not laziness then what is it?
Ninyi Ile yenu ambayo ni Diesel and old model, vipi imeshafika Malabar?. Kuna tofauti kubwa Kati ya kuchelewa na kushindwa kufika kabisa kutokana na kukosa pesa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sisi tuna daraja la 8 lanes ambalo ni cable stayed 3.2km long (JPM Bridge- Kigongo Busisi) na sio 8 lane kivuko kama chenu maana it does not qualify to be called a bridge hiyo ni cross tuu.
Leta evidence kwamba JPM bridge ni 8 lane. Nimeambia chongchung alete evidence na akatoroka.
 
Yeah these people don't want to accept that Kenyans on average live a better life than them. Gdp per capita ya Kenya ni double ya Tanzania. HDI ya Kenya ni much higher than ya Tanzania. There is no debate here.
Sasa unataka tutumie kigezo cha Nyumba au familia Moja kuwa ndio picha ya maisha ya wakenya, au tutumia hii ya watu wengi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yeah these people don't want to accept that Kenyans on average live a better life than them. Gdp per capita ya Kenya ni double ya Tanzania. HDI ya Kenya ni much higher than ya Tanzania. There is no debate here.
2 million people out of total population of 4 million in Nairobi the most developed city in Kenya live in slums. How can that be called a good life for an average Kenyan?

High class Kenyans of African origin live in bed sitters while rich kenyans of somali and Indian origin including politicians live in opulent areas of Nairobi.
 
Africa bado tupo nyuma sana kwenye mambo ya Internet connection

Untitled.jpg
 
Arrival of US Air Force in Taiwan with US official Nancy Pelosi.
20 Warplanes were escorting Nancy Pelosi's plane including US fighter jets. US air force authorized to open fire in case of any Chinese interference on the plane carrying Nancy Pelosi.
Seems like the US Govt. & Army has "Spit" directly on the face of Xi Jinping by landing a US Air Force plane in Taiwan despite an open threat by China to shoot down the plane if it enters Taiwan air space. AND CHINA KEPT ON WATCHING.....
Incredible courage.
Dragons 🐉 are imaginary but Eagles are real.

This is the brute power of USA 🇺🇸
 
yeah, this should not come as a suprize, for an average kenyan like my sister and all of us here in this thread to live like this..
bearing in mind that my sister is just a pharmacist at Moi Refferal Hosp in eldoret, and her husband an local businessman within eldoret town.
they must knw tht, they are very average kenyans. a true reflection of how most kenyans live..
they also must note tht our HDI and our per capita income is not their per capita...

we are totaly two different states and hence
This house is middle income standard which doesn't constitute even 20% of Kenyans, majority of Kenyans don't even afford 3 meals a day

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Africa bado tupo nyuma sana kwenye mambo ya Internet connection
Hivi kwa nini maendeleo yapimwe kwa internet, mbona sisi tumeendelea sana kwenye mambo mengi tuu. Wenzetu unakuta jamii haijui tofauti kati ya mwanamke na mwanaume, wote sawa tuu. Mtu anajiamulia leo yeye ni mwanamke au mwanaume, sasa hapo huoni kuwa sisi tumeendelea?
 
Back
Top Bottom