Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Hivi unaweza kutuelezea mkataba wa gesi uliosainiwa juzi ukoje?
The pipeline to Tanga itaisha 2030, again the pipeline is for transportation of crude oil and not refined. For refined they will continue using Kisumu port and Eldoret deport.Hahahaha, Uganda is no longer interested with transporting it's oil by using tanks, it will use its Pipe line to Tanga, Tanzania.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaishi dunia gani wewe hukuwahi kusikia kuhusu janga la coronaTimeframe is very clear. Ilikuwa ikamilike November 2019.

Ebu leta picha tuoneInapita hapa vingunguti kila siku
Who will need a pipeline for refined oil wakati refinery inajengwa UG labda uzungumzie reverse flow ya pipeline yenu na mkinunua mafuta ya UG na sisi Tz tunapata faida sababu tz imewekeza share kwenye refinery ya UG nyie mlisusa.The pipeline to Tanga itaisha 2030, again the pipeline is for transportation of crude oil and not refined. For refined they will continue using Kisumu port and Eldoret deport.
Ndiyo nimetoroka uchaguzi kwa sababu you have what you call development without civilization. Niko kazi ambazo siyo za kenya!Umerudi TZ ili kutoroka uchaguzi sio? Ila bado hujaeleza ni sababu gani ilikuleta Kenya na kufanya uishi miaka 7 kama Kenya ni mbaya?
Before that Ugandan refinery iishe tutakuwa tumewakula tukatoshekaWho will need a pipeline for refined oil wakati refinery inajengwa UG labda uzungumzie reverse flow ya pipeline yenu na mkinunua mafuta ya UG na sisi Tz tunapata faida sababu tz imewekeza share kwenye refinery ya UG nyie mlisusa.
Hiyo hapoau sio electric train hiyo?
Katika nchi ambayo watanzania hawapendi kabisa kwenda kufanya kazi ni Kenya, Kuna watanzania wengi zaidi Zambia, South Afrika na Malawi kuliko waliopo Kenya.Kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi Kenya. Kwa habari yako.
Hivi Ile yenu ilikua ifike lini Malabar?Timeframe is very clear. Ilikuwa ikamilike November 2019.



Hiyo meli yenu itaisha 2050, na Kuna uwezekano mkubwa isikamilike Kama ilivyoshindwa kukamilika kwa SGR yenu iliyokomea porini. By the way hiyo meli sio "tanker" haiwezi safirisha mafuta.The pipeline to Tanga itaisha 2030, again the pipeline is for transportation of crude oil and not refined. For refined they will continue using Kisumu port and Eldoret deport.
tankerHiyo meli yenu itaisha 2050, na Kuna uwezekano mkubwa isikamilike Kama ilivyoshindwa kukamilika kwa SGR yenu iliyokomea porini. By the way hiyo meli sio "tanket" haiwezi safirisha mafuta.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
in a reverse direction sio? Na mafuta yao meaning mtakuwa mkinunua toka Uganda!The pipeline to Tanga itaisha 2030, again the pipeline is for transportation of crude oil and not refined. For refined they will continue using Kisumu port and Eldoret deport.