The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Usisahau kuwaambia pia JPM bridge ni cable stayed bridge ambayo wao hawana na hawatokuwa nayo kwa miaka 1000 ijayo.Halitawahi kuwepo wakati JPM Bridge ni 8 lanes![]()
Usisahau kuwaambia pia JPM bridge ni cable stayed bridge ambayo wao hawana na hawatokuwa nayo kwa miaka 1000 ijayo.Halitawahi kuwepo wakati JPM Bridge ni 8 lanes![]()
Hana sera huyu mzee, yule mwingine mi hata simuelewi pia.
Post kwako si kwa brother inlaw!a prime guest! a courtesy call to my sister's place who happen to live in kapseret area, at the outskirts of eldoret, the city of champions!😍
me with ofcourse my siz, nieces, nephews, together with some of their neighbourhood friends. as in, i luv them for life!😍
cc: Geza Ulole, hawa wote ni wakale, wakipsigis na wanandi.!
View attachment 2314482View attachment 2314483View attachment 2314533View attachment 2314534View attachment 2314485View attachment 2314486View attachment 2314535View attachment 2314507View attachment 2314487View attachment 2314506View attachment 2314488View attachment 2314489View attachment 2314490View attachment 2314491View attachment 2314492View attachment 2314493View attachment 2314494View attachment 2314495View attachment 2314496View attachment 2314497View attachment 2314509View attachment 2314498View attachment 2314499View attachment 2314500View attachment 2314501View attachment 2314510View attachment 2314511View attachment 2314512View attachment 2314502View attachment 2314503
wacha kuni hujum masera wangu.... kwani kuna makosa kuzuru kwa dadangu? 🤣🤣🤣Post kwako si kwa brother inlaw!
umeenda ku-seek refuge kabla ya election sio? Unaogopa wasijekuchumbia hapo slum Nairobi sio?wacha kuni hujum masera wangu.... kwani kuna makosa kuzuru kwa dadangu? 🤣🤣🤣
Tony254, Don YF, Nicxie hebu njooni hapa mumskiize huyu..🤣🤣 sikuja ku-seek refuge, bali nilikata kupiga tu kura nyumbani mashinani.... 🤣 kenya tuko peaceful roundi hii. na wala dua hatasikia maombi yenu wabongo, ya machafuko nchini kenya msimu huu, ole wangu, poleni aky... hehee🤣umeenda ku-seek refuge kabla ya election sio? Unaogopa wasijekuchumbia hapo slum Nairobi sio?
Hahahaha, nadhani huyu mzee huwa anasoma hizi posts hapa JF, nadhani ni miongoni mwa followers wanguMmmh!
[mention]Joto la jiwe [/mention] hii imekaaje?




raila ameniangusha walai.. mbona amesahau kutaja tanganyika!!? another shithole, failed state.! damn!🤔🤔Hahahaha, nadhani huyu mzee huwa anasoma hizi posts hapa JF, nadhani ni miongoni mwa followers wangu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu dada alikuwepo TZ karibu miaka miwili,akaenda ghana huko naona kaanza kulalamika,arudi tutampokeaGhana waliotuzidi GDP 😁😁😁
Maisha magumu mpaka chumvi inauzwa kwa kijiko, kama kunyaland tu!
View attachment 2314345View attachment 2314348
mambo high-profile kama haya ni jambo geni sana kwenu! na wala hamjavizoea hasa, na ndo sababu imepata kuzoa a record 18likes! within just 1hour!. (a record 'likes' never seen before eversince nijiunge kwa huu uzi)....🤔Umeumia![]()
na ntazidi kupost kile nataka, nawala hautani pimia hewa.. ala!😡😠Huyu komwe ana maajabu gani maana unapenda sana kumpost hapa!?
Kwasababu anajua kwamba Tanzania is the biggest source of Kenya's remittances in Africa, and the biggest source of Kenya's food in the world. He knows very well that" who feeds you, controls you"raila ameniangusha walai.. mbona amesahau kutaja tanganyika!!? another shithole, failed state.! damn!![]()




Miaka yote ikifika wakati wa uchaguzi, wakenya huwa mnarudi kwenu vijijini au mitaa yenye watu wengi wa kabila lako kwasababu za kiusalama, very primitive people
aa wapi.!? porojo zako peleka uswahilinMiaka yote ikifika wakati wa uchaguzi, wakenya huwa mnarudi kwenu vijijini au mitaa yenye watu wengi wa kabila lako kwasababu za kiusalama, very primitive people
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tunawajua Sana mlivyo wajinga, hivi Sasa wahindi na wageni wengine ambao sio wazawa wa Kenya, wanavuka kuja Tanzania, Hotels za Arusha, Dar, na Tanga wamejaa wakenya.aa wapi.!? porojo zako peleka uswahilin
Mmmh!
[mention]Joto la jiwe [/mention] hii imekaaje?
Nyie hamna 8 lane bridge Tanzania nzima.Kwass tunaongelea cable stayed bridge mzee, hii makupa jua kali bridge haiwezi gusa Mkapa bridge ya kule kusini.
Sio nzr kama za phase one...Wadau hizi stesheni za sino Hydro brt mnazionaje, mm naona wamepuyanga vibaya mno