joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ukiacha maneno, maandishi na kujikweza, onyesha kwa mifano ya vitendo kuhusu uchumi wa Kenya.Mzee nyinyi mmetoka LDC juzi tulia. Sisi tumekuwa MIC miaka minane sasa. Kila mtu anajua Kenya ipo mbele yenu kiuchumi.
Kati ya wakenya na watanzania ni nani wanaingia nchi ya jirani kwa wingi kwenda kufanya kazi ili wakidhi maisha Yao?.
Wakenya ukimbilia USA, UK, Canada, UAE, Tanzania, South Africa na Mauritius, jaribu kujiuliza kwanini hawapendi Ethiopia, Somalia, South Sudan, Uganda, Rwanda na Burundi kwa wingi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app