Wacha propaganda me nikona account moja. Nilikuambia unionyeshe dealership hata ya Subaru ukashindwa. Ile siku mutapata dealership ya luxury cars kama Kenya utakua ushakufa.Ushaanza kupanic sasa siulikimbia humu ukaja na id nyingine 😂😂😂😂
Nilikwambia kwa east africa and central watu wanaojua kutumia pesa ni watanzania kwanzia bata mpaka majumba mpaka magari bisha tuone 😂