Uchumi gani ambao cant even implement a single project ya magnitude ya $100m kwa pesa za ndani.Punguza uchungu. Kama tumewashinda tumewashinda kwenye ukubwa wa uchumi.
Uchumi gani ambao cant even implement a single project ya magnitude ya $100m kwa pesa za ndani.Punguza uchungu. Kama tumewashinda tumewashinda kwenye ukubwa wa uchumi.
Njaa inaathiri hata uwezo wao wa kufikiria. Njaa mbaya sana.Huko ni maji ya sehumu ya Taiwan, Kuna meli, boats na Mali za Taiwan. Hiyo maana yake ni kwamba hakuna ruhusa kwa majeshi ya Taiwan na washirika wake kufika katika hayo maeneo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani ni njaa tuu haya twende kwenye squalid conditions za slum hapo utabadili gear tena?Kwa nini huwa mnashindia hili jambo moja la njaa? Ni kwa sababu tumewapiga kwenye mambo mengine yote sio?
Amini unachotaka kuamini.Kwa hivo wewe keyboard warrior na yeye anayefanya kazi ya importation of vehicles tuamini nani kuhusu mambo ya vehicle importation?
Nitaamini mtu aliye na maarifa na tajriba, sio keyboard warrior mwenye blind patriotism.Amini unachotaka kuamini.
Kama ungetumia japo nusu ya nguvu mnazotumia kujitetea ili kuficha aibu ya njaa na vifo vinavyosababishwa na njaa, Kenya Inge epuka aibu ya kuwa tegemezi kwa nchi za UAE kwa akili ya chakula cha misaadaKenya is not dependent country wacha porojo., mbona unaandika kwa maumivu hivyo? tuko na jeuri ya hela ndio maana tunasaidia wakulima wenu fukara angalau wapate hela ya kununua mafuta ya kupika na chumvi., nyie ndio mko dependent, hamujiwezi kivyenu ni ardhi yenu inawalisha kama wanyama pori vile, la sivyo mmekufa nyote! ama nadanganya? ukame ikitokea Tanzania itakua kama ile iliyofanyika Ethiopia miaka ya nyuma, yaani itakua a global issue kwa vile mnaeza kufa nyote msiposaidiwa![]()
![]()
![]()
angalia vile Dar inafanana? muonekano wa ufukara jiji karibia yote na ndio picha ya Tanzania karne hii, Tz ni aibu ya 21st century, with every thing and still among the poorest in the world.
Kwasababu chakula ndio kitu muhimu zaidi kwa binadamu, kinadhalilisha utu wa binadamu, hakuna kipimo cha chini kabisa cha kupima Utu na utajiri wa binadamu kuliko chakula.Kwa nini huwa mnashindia hili jambo moja la njaa? Ni kwa sababu tumewapiga kwenye mambo mengine yote sio?
Porojo tena.., penda ukweli, sio dhambi., chunguza mambo kwa ufasaha sio kuandika ili ujifurahishe, I know u, Kenya being above u licha ya our challenges is painful to behold, ila utanyooka tu😂 😂 😂 😂 😂 😂Kama ungetumia japo nusu ya nguvu mnazotumia kujitetea ili kuficha aibu ya njaa na vifo vinavyosababishwa na njaa, Kenya Inge epuka aibu ya kuwa tegemezi kwa nchi za UAE kwa akili ya chakula cha misaada
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Let me tell you something that maybe you don't know. YouTube viewership or subscribers sio hoja. Hoja ni kwba hizo viewership ama subscriptions zinatoka wapi.
Nitakupa mfano na mwanamziki wenu Diamond. According to YouTube Trends, Kenya drove most views for Diamond globally. Tanzania came at number two and the United States number three. Actually, up to 80% of his music views came from outside Tanzania!
The point is, those figures mean nothing if the majority of it comes from outside Tanzania, contrary to what you believe. In this region, Hakuna nchi inashinda Kenya in matters internet and internet penetration na nimejupa mfano na views za diamond hapo juu. So next time you see an increase in diamond viewership, know where they've come from
If dying of hunger, unable to get three meals a day, living in slums, unable to get enough water and depending on food donations is what makes you to be ahead of us, then we want you to be ahead of us foreverPorojo tena.., penda ukweli, sio dhambi., chunguza mambo kwa ufasaha sio kuandika ili ujifurahishe, I know u, Kenya being above u licha ya our challenges is painful to behold, ila utanyooka tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


