Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magari mnayoagiza ni bakuli. Nyumba mnazojenga ni za uswazi. Wewe tembeza kiatu
Ukhe khe khe ndugu yako alileta range rover 2022 moja mm nikamuonesha tatu akaanza kutoa povu sijui dealers sijui mavi ya bata 😂😂😂😂😂

Acha hasira sasa mm sijavaa kiatu 😀😀
 
Wakunya kweli ni waongo sana wanakwambia wao EAC ndo wanaongoza kwa kutumia internet lakini timu zao hazipo

Wakenya wengi tunapenda riadha na rugby kwa sababu hizo ndizo tunafaulu zaidi. Mimi kwa mfano ni fanatic wa athletics ile mbaya. Olympics, World athletics championships lazima nizitazame. Kwenye athletics isipokuwa USA, hakuna nchi nyingine duniani inayoweza kuishinda Kenya. Kitu kingine ni kuwa football clubs za Kenya zinakuwa run vibaya sana kupitia corruption na mismanagement. Akina Gor mahia, AFC Leopard zinakuwa run vibaya.
 
Ulipata Tanzania hapa unitag tafadhali.

Is thqt official source 😂😂😂 hvi ww unafkiri watanzania hujionesha nani alijua kama tanzania kuna range ya 2022 katika nyie kuna mtu alijua ??😂😂😂 si alikuja ndugu yako na mbwembwe hapa akuonesha range ya 2022 akijua iko moja tu kenya kumbe tanzania zilko zaidi ya tatu na bado kuna watu hawajioneshi 😀😀
 
Ukhe khe khe ndugu yako alileta range rover 2022 moja mm nikamuonesha tatu akaanza kutoa povu sijui dealers sijui mavi ya bata 😂😂😂😂😂

Acha hasira sasa mm sijavaa kiatu 😀😀
Tatu zako au za mitandaoni?
 
Personally my view ni hii reli haiitaji kuwa SGR mpka Cape Gauge itapoweza kusafirisha consistently 10 million tonnes per year ..hapo itakuwa economically feasible..

We are investing so much money on railways kuliko hata roads ..amabazo zinahitajika zaidi hasa vijinini kufanya miji ikue ..tunahitaji subsidze kufanya kila nyumba Tz kuwa na umeme..

Tunahitaji ku upgrade container Terminal ya Dar port angalau kwa Bertj hata 5 mpya kabla ya kufikira kujenga SGR
Hakuna mzungu alijenga reli eti Kwa ku bet kutegemea uchumi wa Nchi jirani..

Pia hakuna mzungu alijenga reli eti akitegemea kwamba uchumi utakua Ndio reli ije kupata mzigo..

Wazungu waliandaa uchumi kwanza Ndio zikafuata reli sio kama maujinga yanayofanywa na Nchi za kiafrika kwa kujenga reli mapambo kwa mabilioni huku wakibet..

Reli huwa hazistimulate Uchumi hata siku moja..Ningekuwa mimi ningetandika barabara Mijini na Vijijini zichichee uchumi then ndio nijenge reli maana nitakuwa na bulk.
 
Wakenya wengi tunapenda riadha na rugby kwa sababu hizo ndizo tunafaulu zaidi. Mimi kwa mfano ni fanatic wa athletics ile mbaya. Olympics, World athletics championships lazima nizitazame. Kwenye athletics isipokuwa USA, hakuna nchi nyingine duniani inayoweza kuishinda Kenya. Kitu kingine ni kuwa football clubs za Kenya zinakuwa run vibaya sana kupitia corruption na mismanagement. Akina Gor mahia, AFC Leopard zinakuwa run vibaya.
😂😂😂😂

Hayo ni maneno ya mtu and sio official source 😂😂😂 nashangaa munashangilia ujingq ilihali leo munatoa povu kuona range zipo za 2022
Get to the top of mount Kilimanjaro and shout at the top of your voice 😂
 
Get to the top of mount Kilimanjaro and shout at the top of your voice 😂
Mwenzako alikimbia kwa aibu mwishoe akarudi na id nyingine mpaka sasa hvi anaogopa hata kunitag 😂😂😂😂
 
Hakuna mzungu alijenga reli eti Kwa ku bet kutegemea uchumi wa Nchi jirani..

Pia hakuna mzungu alijenga reli eti akitegemea kwamba uchumi utakua Ndio reli ije kupata mzigo..

Wazungu waliandaa uchumi kwanza Ndio zikafuata reli sio kama maujinga yanayofanywa na Nchi za kiafrika kwa kujenga reli mapambo kwa mabilioni huku wakibet..

Reli huwa hazistimulate Uchumi hata siku moja..Ningekuwa mimi ningetandika barabara Mijini na Vijijini zichichee uchumi then ndio nijenge reli maana nitakuwa na bulk.
Ni wewe au kuna mtu kakuandikia ....
Nlijua utasema anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom