joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, Kama mlivyoshindwa kwenye East Africa tourist visa na kwenye Coalition of the willing, ninakuhakikishia by 100%, hata kwenye hili hakuna kitakachobadilika[emoji23][emoji23][emoji23]The process will be repeated until Nairobi is selected. Take that to the bank.
We can give you the HQ and the parliament, but money issues is where we draw the line.
Hahahaha, everything is in Tanzania, you have nothing in Kenya, we have upper hand on all decisions about EAC[emoji23][emoji23]In 2 weeks you'll not be dealing with the lazy drunkard.
You can as well walk out and host the SADC bank if it exists.
We'll not be bending over on this one.
Check EAC website to have a glimpse of the institutions and location.., if u click on each website u will notice they are spread across., I know Lake Victoria Basin Commission is based in Kisumu whereas Interuniversity Council for East Africa is based in Kampala., etc..,Kitaalam vipi? Tunataka kusoma hio report yao ya upuuzi ili kujua wametumia vigezo gani. Isitoshe hakuna jinsi Tanzania ambayo inahost EA headquarters pia ipewe EACB wakati Kenya na Uganda hazi-host body hata moja ya EAC. EAC court pia ipo Tanzania. Hamuwezi host bodies tatu za EAC wakati Kenya na Uganda hatu-host body hata moja ya EAC. Hapa ndio nimeanza kuona kwamba kuna siasa chafu inayochezwa nyuma ya pazia. Afadhali Kenya iondoke EAC. EAC has become a joke. EAC ni upuuzi mtupu. Upumbavu mtupu.
Uzuri wake ni kwamba wenye akili wameshaamua EACB headquarters itakuwa Tz mmebaki wahuni wa mitandaoni mkilia lia, hv ww kwa akili zako nani atakubali makao makuu ya taasisi muhimu kama hiyo yasiwe Tz? Sisi ndiyo baba hapa East Africa lazima taasisi muhimu kama hizo ziwe na makao yake makuu Tz kwa afya ya EAC.You're not going to host the headquarters of EAC and also the Central Bank.
Better start rubbing that into your heads.
Tz imechukua Bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Check EAC website to have a glimpse of the institutions and location.., if u click on each website u will notice they are spread across., I know Lake Victoria Basin Commission is based in Kisumu whereas Interuniversity Council for East Africa is based in Kampala., etc..,
EAC Institutions
The East African Community (EAC) is a regional intergovernmental organisation of eight (8) Partner States, comprising the Republic of Burundi, Democratic Republwww.eac.int
Ngoja tuondoe filter [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natuseme ya hapa wanagawiwa msaada wa chakula..Back home! There's no difference from Nigeria at all
View attachment 2310608View attachment 2310609View attachment 2310611View attachment 2310613
Wakunya hii habari huwa hawaipendi sn, wakiiona inawanyima raha wanatamani isiwepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]EACOP
Hili uchafu unakera sana katika mji unaonyesha Jinsi viongozi walivyowazembe kufanya jambo na pia wananchi wanatakiwa wawe wa kuonyesha mfano waache kutupa taka ovyo ovyo inakera sanaTanzania intercity transport
View attachment 2310681
View attachment 2310682
Kunyaland intercity transport
View attachment 2310683
wapi imeandikwa donation unaona mtu kakonda kwa kukosa lishe hapo? kuna aliyeshindwa kusimama na anayehitajika kunyweshwa majina kulishwa hapo?Natuseme ya hapa wanagawiwa msaada wa chakula.. View attachment 2310923
Tanzania Mainland..only..i hope umesoma hapo chini kujua Zanzibar in gdp ya around 4bn usd making total GDP around 72bil usdaa aah![emoji1482][emoji1480] sio sisi, heb waulize wao tafadhali, wao ndo watalamu, ata sisi sawa tu na nyinyi, hatujui kitu
View attachment 2310495View attachment 2310498
Nani anawagawia na kwanini wanagawiwa? 😀😀😀😀Natuseme ya hapa wanagawiwa msaada wa chakula.. View attachment 2310923