Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

am telling u kisumu and capetown is one thing.. u won't understand tht
Screenshot_20220729-062422_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062456_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062513_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062529_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062147_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-061945_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062109_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060957_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055647_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055702_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055736_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-054454_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055325_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-054510_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-054754_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-054839_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055009_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055610_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-055912_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060025_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060451_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060511_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060647_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-060700_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062602_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062646_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-062956_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-063154_YouTube.jpg
Screenshot_20220729-063422_YouTube.jpg
 
Huyo mwenye alishinda hio marathon ni Mganda na huo wimbo wa taifa ni wa Uganda. Unaexpect mtu kutoka republic of Lazystan kushinda marathon? Haiwezekani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu aliyekushinda bado unadharau?? Kamshinda huyu mkenya wenu na bado unasema haiwezekani kushinda? Au mi sijaelewa wapi?
Au ni hasira na hamjategemea mkulungwa wenu kutupwa No 3 [emoji23]

IMG_0530.jpg
 
Huyo mwenye alishinda hio marathon ni Mganda na huo wimbo wa taifa ni wa Uganda. Unaexpect mtu kutoka republic of Lazystan kushinda marathon? Haiwezekani.

Kwanza kabisa mnapenda kuchukulia vitu kijuu juu angalia mnavyoonekana mapoyoyo hapo.Taarifa hujasoma yote unabeba kipande ulichoelewa peke yako, unaishia kuabika na kuonyesha chuki zako, na wewe bila hata kufuatilia unaunga nyuma kama tela [emoji23] Wakenya mna chuki sana mnapenda kupindisha vitu viendemnavyotaka

Hapa si wanaongelea wimbo wa Uganda ?

Watu tunashangilia East Africa imetuwakilisha vizuri kupata mshindi wa kwanza hadi wa tatu. Nyie mpo busy kukandia.

IMG_0531.jpg
 
View attachment 2309522
Huyo mwandishi wa habari arudi shuleni afundishwe jinsi ya kuandika title ya habari. Watu wengi sana huwa wanasoma title pekee na kusonga mbele. Sio kila mtu huwa anaingia ndani ya habari yenyewe. Title lazima ijitosheleze. Kwa gazeti la Uganda title kama hio imekubalika kwa sababu Waganda wanaposoma title watafikiri ni wimbo wa taifa wa Uganda. Ila gazeti la Kenya au Tanzania halistahili kuandika title la kipuuzi kama hilo kwa sababu Mtanzania anaposoma title ya gazeti atafikiri kwamba wimbo wa taifa wa Tanzania ndio ulichezwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu aliyekushinda bado unadharau?? Kamshinda huyu mkenya wenu na bado unasema haiwezekani kushinda? Au mi sijaelewa wapi?
Au ni hasira na hamjategemea mkulungwa wenu kutupwa No 3 [emoji23]

View attachment 2309505
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe Mtanzania ameshinda Mkenya kwenye marathon. Maajabu ya Musa haya. Huyo Mtanzania atakuwa na damu ya Kikenya. Achunguzwe.
 
Kitaalam vipi? Tunataka kusoma hio report yao ya upuuzi ili kujua wametumia vigezo gani. Isitoshe hakuna jinsi Tanzania ambayo inahost EA headquarters pia ipewe EACB wakati Kenya na Uganda hazi-host body hata moja ya EAC. EAC court pia ipo Tanzania. Hamuwezi host bodies tatu za EAC wakati Kenya na Uganda hatu-host body hata moja ya EAC. Hapa ndio nimeanza kuona kwamba kuna siasa chafu inayochezwa nyuma ya pazia. Afadhali Kenya iondoke EAC. EAC has become a joke. EAC ni upuuzi mtupu. Upumbavu mtupu.
Povu la nini wataalamu ndio wamesema hivyo sisi ni nani wa kuwabishia?
 
Mbona hao professionals waliofanya verification ya kuhost hiyo bank Kenya ilishika nafasi ya 4 huko.

Of all countries in EA Tz has the best macro economics
Nimeona wameweka Burundi mbele ya Kenya. Burundi yenye kagdp ka $3 billion kamewekwa mbele ya Kenya yenye gdp ya $114 billion. Kaburundi kamewekwa mbele ya Kenya. Kaburundi Kaburundi Kaburundi. Hapo ndio ujuwe hao sio experts. Hao ni wajinga fulani wasiojuwa kazi yao.
 
in bongoland, this is a once in a life tyme (light-year[emoji1787]) experience,
[emoji1427]this one!..

lakini... huu ni wimbo wa taifa ya bongo kweli?
si nilidhani, wao wali copy
'Nkosi Sikelel-iafrika"
ya ndugu zao wa dhati south africa ama !!??[emoji848][emoji848][emoji848]

View attachment 2309388
SA ndio wamekopi kwetu kuanzia nyimbo mpaka bendera.
 
Kwanza kabisa mnapenda kuchukulia vitu kijuu juu angalia mnavyoonekana mapoyoyo hapo.Taarifa hujasoma yote unabeba kipande ulichoelewa peke yako, unaishia kuabika na kuonyesha chuki zako, na wewe bila hata kufuatilia unaunga nyuma kama tela [emoji23] Wakenya mna chuki sana mnapenda kupindisha vitu viendemnavyotaka

Hapa si wanaongelea wimbo wa Uganda ?

Watu tunashangilia East Africa imetuwakilisha vizuri kupata mshindi wa kwanza hadi wa tatu. Nyie mpo busy kukandia.

View attachment 2309522
Shida mgikuyu hajawa wa kwanza.
 
in bongoland, this is a once in a life tyme (light-year🤣) experience,
👇🏽this one!..

lakini... huu ni wimbo wa taifa ya bongo kweli?
si nilidhani, wao wali copy
'Nkosi Sikelel-iafrika"
ya ndugu zao wa dhati south africa ama !!??🤔🤔🤔

View attachment 2309388
Tumeanza kutumia hii nyimbo toka 1964 huko,how tuwe tumecopy kwa nchi ambayo imeanza kuutumia 1994!we jamaa kilaza kweli,hata bendera south africa wamecopy kwetu ukiondoa ile rangi nyeupe na nyekundu
 
Back
Top Bottom