Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee haya majengo mengine ni mapya kabisa usoni kwangu [emoji8][emoji7][emoji8][emoji8]

Upanga kuna majengo mengi sana mapya ya Chama tawala , kuna mtu alikua anasema Dar magorofa ya Wahindi na waarabu. ( labda kariakoo ndio JV ya locals na Arabs au Wahindi na wanakua wanagawana Jengo)

Property nyingi Humu Dar zinamilikiwa na NHC, Nssf, TBA, Psspf etc.
 
Chuki ni mdudu mbaya sana. Mwanaume mzima unakosoa chakula ninachokula?

Waffles na maple syrup pembeni ni breakfast ya kawaida sana Marekani.

Wewe umekula nini asubuhi?
British bangers, mushrooms, hash browns and baked beans [emoji39]
 
peleka upumbavu hicho ni kiswahili au Kimumbi?
kwani wee unaskia kama hii ni kikuyu ama kiswahili?....... ati lugha ya mumbi.... wee umekaa sana kenya wewe.. huwa nawaambiga wabongo wenzako umekaa sana kenya lakini hawaskiagi
 
Weka picha acha maneno mengi USA nimetembea sana you name any place Charlotte, Raleigh NC, Detroit, Boston, San Diego, LA etc NY ndio nimekaa muda mrefu.

London mimi nakunywa beer west end na starehe zangu nafanyia huko niambie trafalgar square, Leicester square, piccadily circus, convent garden, Liverpool Street, canary wharf Aldgate, charring cross, may fair, Victoria, elephant and Castle, Kensington, knights bridge, kings cross na Paddington huko kote hunipotezi ndio viwaja vyangu ni wapi utanitajia nisipajue?
 
Mmh nafkiri hii bridge ni kwaajili tu ya staff wa Agakhan kwa kweli na wagonjwa labda, sidhani kama itatumiwa na watu random.. hayo ni mawazo yangu lakini, kwasababu hata hivyo hiyo bridge ni mali ya Agakhan
Hapana ni kwaajili ya staff na wagonjwa maana car parking ya Aga Khan iko hapo upande wa kushoto wa hiyo foot bridge
 
Sasa kwa sababu unataja majina ya streets za London sasa unafikiri hio inaprove kwamba umefika London? Sasa ukitaja Trafalgar square hio haimaanishi chochote ndugu. Weka picha yako ukiwa majuu. Wengine wetu tumeshaweka na tunaweza kuweka tukiulizwa. Mwenzako Walker255 ameshaweka picha yake ya breakfast ya maple syrup. Wewe unapiga tu mdomo badala wewe pia uweke picha ili muendane sawa. Otherwise huyo Walker255 sio mtu wa ligi yako. Wewe baki ukibishana na rika yako akina joto la jiwe ambao walianguka mtihani wa form 4.
 
Sasa hujisikii aibu mtu wa Form 4 anakufundisha mtu mwenye masters ya uchumi toka Czech Republic?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Picha sio shida mkuu nitaweka hapa mpaka kwa Queen Elizabeth ila yeye aweke tuu hata AC unit ya jirani yake.

Pia hizo sehemu kama anaubavu na ameshawahi kukanyaga aniulize chochote.

Bado unataka nirushe nikisalimiana na Quuen? View attachment 2308460View attachment 2308461View attachment 2308462View attachment 2308463
 
Charity begins at home , tatizo la homelessness ni kubwa sana nchini kwake. Ktendo cha yeye kuacha kusaidia jamii yake huku akijitia usamaria mwema Afrika, ni swali la kujiuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…