Unaweza kutueleza inakuwaje watu waliochanja wanapata corona?Sasa hivi husikii Sana habari za maambukizi mapya duniani, hiyo ni dalili kwamba chanjo imeanza kufanya kazi, sio bahati nasibu kwa ugonjwa ambao kwa siku Moja ulikua unaua mamilioni ya watu kwa mwezi, ghafla imeanza kutoweka duniani.
Tuendeleeni kuchanja ili huu ugonjwa utoweke kabisa duniani, ili tuendelee kushughulika na ugonjwa wetu wa starehe
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We kilaza mbona wasiite hypertension ila wametumia maneno specifically "cardiovascular dysfunction"? Acha ujuaji wewe jua kali lab techbologist deal na laboratory tuu huko haya mengine waachie wataalamu husika.Don't just type and argue for the sake of doing so, cardiovascular dysfunction is the cause of hypertension. Both hypertension and cardiovascular dysfunction goes hand in hand.
Hapa tupo kwenye facts tu mzee. Mimi naweka na nyie mnaweka. Tupo kwenye battle ya international schools na matokeo ni 2-1 na Tatu city ipo juu ya Dodoma kwa sasa. Nangoja The best 007 alete international school ya pili iliyopo Dodoma. Asipoleta Tatu city imeshinda kwenye battle ya international schools.No research no right to speak, hijui Dodoma u better ask kwanza sio utoe conclusion zako, DOM kuna shule kali za kushato,
ππππ Ng'ombe zenu samia kazitaifisha hukuNova Pioneer ni shule international na hata ipo South Africa. Kwa wale wanaofikiri natania tazameni hapa.
View attachment 2305474
Cc chongchung ulitaka battle ya mashule za msingi kati ya Tatu city na Dodoma? Tatu city ina mashule international mzee. Leta battle kwenye mambo mengine. Kuna shule nyingine ya pili ambayo ni international inaitwa Crawford school ipo Tatu city naweza leta kama Nova Pioneer haijakutosha. Utalinganishaje shule ya uchwara hapo Dodoma na international school hapa Tatu city?
Yule mgombea urais wenu Wajakoja anasema ata wajengea chuo kikuu cha bangi si ndio mtakuwa zaidi ya mafalaHakuna chenye unaelewa, nenda kapambane na Chama Cha Mafala (CCM) yenu kwanza kisha uje π π π π π π
Siyo kumpotezea tu ni kupiga supana kabisaa [emoji58][emoji52][emoji2955][emoji41]Tulikubaliana huyo apuuzwe, usiendelee kujibishana naye tafadhali , unaona jinsi anavyokutukana?, Utajishushia hadhi yako bila sababu za msingi, mpotezee
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna mahali imeandikwa kwamba ng'ombe zimetaifishwa. Samia hana roho mbaya kama yule mwendazake.ππππ Ng'ombe zenu samia kazitaifisha huku
Hata mtu ukipata stress ambayo ni either psychological au disease related inasababisha cardiovascular dysfunction lakini hu resolve stress ikiisha sasa hiyo sio hypertension maana kweli unapata ambiguous raised numbers ambazo haziko in tandem kwenye diastolic na systolic lakini haiko categorised as hypertension bali inakuwa grouped into cardiovascular dysfunction.Don't just type and argue for the sake of doing so, cardiovascular dysfunction is the cause of hypertension. Both hypertension and cardiovascular dysfunction goes hand in hand.
Kumbe I'm engaging a cow na sijui. Cardiovascular dysfunction is not hypertension but it's one of the causes of hypertension. When blood vessels become constricted, the lumen will become narrow making the blood to force itself through. For heart to overcome this struggle, it will increase the force and speed of pumping hence high pressure. That's how hypertension comes about.We kilaza mbona wasiite hypertension ila wametumia maneno specifically "cardiovascular dysfunction"? Acha ujuaji wewe jua kali lab techbologist deal na laboratory tuu huko haya mengine waachie wataalamu husika.
So google is your evidence? [emoji848] Even a mad person can publish anything and still appear on google.The difference between me and you all is that I'm arguing using facts and evidences, nyinyi ni midomo tu. So tell me, who is stupid between a person who supports his/her points with evidences and that person who only talk with nothing to show?
Yaani ni fine mwenye ng'ombe akishindwa kulipa ni mnada! Sheria zipo wazi! Hatuendekezi ushenzy wenyu!Hakuna mahali imeandikwa kwamba ng'ombe zimetaifishwa. Samia hana roho mbaya kama yule mwendazake.
Nini maana ya kukamatwa kinyume cha cheria? ππππHakuna mahali imeandikwa kwamba ng'ombe zimetaifishwa. Samia hana roho mbaya kama yule mwendazake.
Fine ni tofauti na kutaifisha. Fine tutalipa. Kutaifisha ni ujinga.Nini maana ya kukamatwa kinyume cha cheria? ππππ
Unafikiri zitatoka bila fine?
Vile nakuona it seems hata hujui maana cardiovascular. If I can break it down for you then cardiovascular is the heart plus blood vessels, so when someone talk about cardiovascular dysfunction what should ring into your mind is improper function of the heart and blood vessels. If the heart is not functioning properly then there will be changes in blood pressure, same to blood vessels.Hata mtu ukipata stress ambayo ni either psychological au disease related inasababisha cardiovascular dysfunction lakini hu resolve stress ikiisha sasa hiyo sio hypertension maana kweli unapata ambiguous raised numbers ambazo haziko in tandem kwenye diastolic na systolic lakini haiko categorised as hypertension bali inakuwa grouped into cardiovascular dysfunction.
Martin Luther king school DODOMA πThe best 007 nakungoja ulete international school nyingine ya Dodoma. Umechelewa sana. Tatu city ipo juu ya Dodoma saa hii 2-1. Najua The best saa hii anachambua intaneti nzima kutafuta another international school in Dodoma lakini hapati kwa sababu haipo. π€£ π π
Sijawahi kusema nimesomea nini kwenye hii forum usiniwekee maneno mdomoniWewe ulituambia kwamba umesomea engineering sio? Sasa leo iweje umekuwa daktari tena?
Haya twende na Martin Luther kwanza ππππchongchung naona umetoroka battle ya shule za msingi kati ya Dodoma na Tatu city. Tunazingatia quality sio idadi. Nakungoja. Leo utachezea kichapo kizito mzee. Jaribu kupinga nilete shule ya pili international iliyo Tatu city.
Taratibu kaka watakusikia, tuchart tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah hii serikali inajua kucheza na beberu eti watu million 12 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata million 2 waliochanja hawafiki