Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 Sama boy 255 Kitu msichokifahamu ni kwamba kati ya nchi hizi tatu Uganda, Tanzania na Kenya, kwamba Kenya ndio ilikuwa nchi ya mwisho kupata university. Sasa Wakenya wengi walienda nje ya nchi kupata masomo ya chuo kikuu. Huwa ninawaambia kwamba Kenya tuna shida nyingi kuwashinda ila huwa tunafaulu kuzisuluhisha. Hio haimaanishi kwamba level of education ya Kenya ipo chini. University of Nairobi is ranked higher than any university in East Africa. University of Nairobi ilianzishwa 1970. Kabla ya hapo ilikuwa college. Lakini tangu ianzishwe imejijenga na sasa ni the highest ranked university in East and Central Africa na ipo top ten in Africa.
Yet ground Ndio moo hovyo kinoma, na viongozi wenu wanakuja kusoma UDSM, Ukiwa kibaraka wa mzungu unafkiri kuna rankings watakuweka nyuma nyuma.?
 
Kilaza kwa ubora, sawa dogo, umenyamba point 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tusipoteze muda, mm naanza kutaja watu mashuhuri waliosoma Tz alafu atokee mkunya ataje watu mashuhuri waliosoma Kenya.

1. Yoweri Kaguta Museveni(Uganda).
2. Laurent Desire Kabila(Congo).
3. Willy Mutunga (Kenya).
4. Donald Kaberuka (Rwanda).
5. Mutula Kilonzo (Kenya).
6. Amos Wako (Kenya).
7. Hasaan Bubacar Jallow (Gambia).
8. Eriya Kategaya (Uganda).
9. Peter katjavivi (Namibia).
10. Patricia McFadden (Eswatini).
11. Margaret C. Snyder (US).
12. Francis K. Butagira (Uganda).

Wapo wengi mno sijawaweka hapa, akitokea mkunya akaleta wake naleta wengine. Kumbuka kwamba hao niliowataja wote ni watu mashuhuri wakiwemo marais, majaji, maspika wa bunge etc
 
The best 007 Sama boy 255 Kitu msichokifahamu ni kwamba kati ya nchi hizi tatu Uganda, Tanzania na Kenya, kwamba Kenya ndio ilikuwa nchi ya mwisho kupata university. Sasa Wakenya wengi walienda nje ya nchi kupata masomo ya chuo kikuu. Huwa ninawaambia kwamba Kenya tuna shida nyingi kuwashinda ila huwa tunafaulu kuzisuluhisha. Hio haimaanishi kwamba level of education ya Kenya ipo chini. University of Nairobi is ranked higher than any university in East Africa. University of Nairobi ilianzishwa 1970. Kabla ya hapo ilikuwa college. Lakini tangu ianzishwe imejijenga na sasa ni the highest ranked university in East and Central Africa na ipo top ten in Africa.
Hata huoni aibu kuandika uongo?, Kabla ya kuandika jaribu kufanya utafiti kidogo, tutakucheka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

By the way, huko kwenu "better education is the same as high ranking of one or two Universities", then Uganda has better education system because Makerere University always ranks highly in East and Central Africa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani sera ni za nchi au mtu?
Don't be naive. Hii ni Africa na kuna political cartels. Hata kama mimi ni Jaffer siwezi kubali kiroboto kutoka Tanzania kuja kuniharibia biashara yangu niliyojenga kwa miaka mingi. Lazima kinuke. Hata ikibidi nitoe hongo nitatoa hongo ili jamaa apigwe chini!
 
The best 007 Sama boy 255 Kitu msichokifahamu ni kwamba kati ya nchi hizi tatu Uganda, Tanzania na Kenya, kwamba Kenya ndio ilikuwa nchi ya mwisho kupata university. Sasa Wakenya wengi walienda nje ya nchi kupata masomo ya chuo kikuu. Huwa ninawaambia kwamba Kenya tuna shida nyingi kuwashinda ila huwa tunafaulu kuzisuluhisha. Hio haimaanishi kwamba level of education ya Kenya ipo chini. University of Nairobi is ranked higher than any university in East Africa. University of Nairobi ilianzishwa 1970. Kabla ya hapo ilikuwa college. Lakini tangu ianzishwe imejijenga na sasa ni the highest ranked university in East and Central Africa na ipo top ten in Africa.
Huwa siamini katika rankings naomba niletee watu mashuhuri iliyozalisha ili tuipime kwa hilo tafadhali.
 
wacha ujinga pitia history Makerere tu ndo ilianzishwa kabla, ila UDSM na UON vilianzishwa wakati mmoja as a matter of fact Nyerere alikuwa chancellor wa UON kipindi cha ukoloni na miaka michache baada ya uhuru wa Kunyaland! All three were university of East Africa affiliated colleges of University of London! Kunyaland is the only country 60 years of independence none of her universities have produced a President!

1658736598969.jpeg

1658736638060.jpeg

Don't be naive. Hii ni Africa na kuna political cartels. Hata kama mimi ni Jaffer siwezi kubali kiroboto kutoka Tanzania kuja kuniharibia biashara yangu niliyojenga kwa miaka mingi. Lazima kinuke. Hata ikibidi nitoe hongo nitatoa hongo ili jamaa apigwe chini!
Usidhani nchi zote za Afrika zina cartels kama Kenya. Nyinyi hata Dangote na ujanja wote ameshindwa kufanya biashara hapo kwenu. Huoni kuna tatizo?
 
Huwa siamini katika rankings naomba niletee watu mashuhuri iliyozalisha ili tuipime kwa hilo tafadhali.
Kuna chizi moja linakwambia sisi ni domo domo yet na lenyewe linaleta maandishi ku prove upumbavu wake (ambayo hayo maandishi ni maneno tu mtu kaandika) 🤣🤣 in Africa seeing is believing sio ati rankings. Matokeo ya ubora wa elimu tz 👇. . Na kampuni kibao zingine za ujenzi, shika chochote kile, maji, Afya n.k vyote tunafanya wenyewe, na hayo ndio matokeo ya ubora wa elimu ya Tz, I can't imagine Kenya with no foreigners, Chinese owned projects 🤣🤣
 
Tusipoteze muda, mm naanza kutaja watu mashuhuri waliosoma Tz alafu atokee mkunya ataje watu mashuhuri waliosoma Kenya.

1. Yoweri Kaguta Museveni(Uganda).
2. Laurent Desire Kabila(Congo).
3. Willy Mutunga (Kenya).
4. Donald Kaberuka (Rwanda).
5. Mutula Kilonzo (Kenya).
6. Amos Wako (Kenya).
7. Hasaan Bubacar Jallow (Gambia).
8. Eriya Kategaya (Uganda).
9. Peter katjavivi (Namibia).
10. Patricia McFadden (Eswatini).
11. Margaret C. Snyder (US).
12. Francis K. Butagira (Uganda).

Wapo wengi mno sijawaweka hapa, akitokea mkunya akaleta wake naleta wengine. Kumbuka kwamba hao niliowataja wote ni watu mashuhuri wakiwemo marais, majaji, maspika wa bunge etc
Historia sio sasa, dwelling in the past to soothe your ego kama vile unapenda vipicha vya takataka na Nairobi ya kitambo, ni 2022 kilaza, amka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., University of Dar ata top 20 sidhani kama inaweza kwa sasa, yaani mzungu aliondoka mkalala kazini kwa uzembe wenu😂😂😂😂😂., wacha nikuwekee report ya World bank, institution mnayo idhamini sana😂😂😂😂😂, uzembe pia naona ni laana, mzungu anawatengenezea chuo nzuri kisha mnaikojolea kwa uzembe wenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1658737047173.png

1658737064681.png

1658737074846.png
 
Usidhani nchi zote za Afrika zina cartels kama Kenya. Nyinyi hata Dangote ameshindwa kufanya biashara hapo.
Ni kweli Dangote alishindwa kuingia kwenye market ya Kenya. Kenya ina siasa yake. Sio mahali pa kuleta kimbele mbele. Rostam nadhani amejifunza jambo hapo.
 
Usidhani nchi zote za Afrika zina cartels kama Kenya. Nyinyi hata Dangote na ujanja wote ameshindwa kufanya biashara hapo kwenu. Huoni kuna tatizo?
Hivi Inawezekanaje mtu mmoja kuzuia serikali isihudumie wananchi wake?, Kenya ni nchi ya hivyo Sana
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuna chizi moja linakwambia sisi ni domo domo yet na lenyewe linaleta maandishi ku prove upumbavu wake (ambayo hayo maandishi ni maneno tu mtu kaandika) 🤣🤣 in Africa seeing is believing sio ati rankings. Matokeo ya ubora wa elimu tz 👇. . Na kampuni kibao zingine za ujenzi, shika chochote kile, maji, Afya n.k vyote tunafanya wenyewe, na hayo ndio matokeo ya ubora wa elimu ya Tz, I can't imagine Kenya with no foreigners, Chinese owned projects 🤣🤣

Usiwe muoga just quote me nikujibu kikamilifu, mbona wewe mnyonge mbele yangu hivi? jiamini kimwanaume wacha umama na kujitekenya bure, mr. chief domo domo, usilie, zoea ukweli utapoa tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,
 
2 Weeks to election, Ruto akishinda naondoka kwa hii thread juu ataturidisha nyuma kama tanzania.📌🤗
 
wacha ujinga pitia history Makerere tu ndo ilianzishwa kabla, ila UDSM na UON vilianzishwa wakati mmoja as a matter of fact Nyerere alikuwa chancellor wa UON kipindi cha ukoloni na miaka michache baada ya uhuru wa Kunyaland! all three were affiliated colleges of University of London!

View attachment 2303109

View attachment 2303114
Tony254 anaendelea kujionyesha ni kwa kiasi gani Hana ufahamu mkubwa wa Mambo, Sasa huyu ni miongoni mwa wasomi wa Kenya wenye kufahamu Mambo mengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Historia sio sasa, dwelling in the past to soothe your ego kama vile unapenda vipicha vya takataka na Nairobi ya kitambo, ni 2022 kilaza, amka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., University of Dar ata top 20 sidhani kama inaweza kwa sasa, yaani mzungu aliondoka mkalala kazini kwa uzembe wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., wacha nikuwekee report ya World bank, institution mnayo idhamini sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uzembe pia naona ni laana, mzungu anawatengenezea chuo nzuri kisha mnakojolea kwa uzembe wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2303117
View attachment 2303119
View attachment 2303120
Kama hao watu mashuhuri walisoma zamani lete na ww watu mashuhuri waliosoma zamani hapo Kunyaland, unaogopa nn sasa au lete waliosoma hivi karibuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli Dangote alishindwa kuingia kwenye market ya Kenya. Kenya ina siasa yake. Sio mahali pa kuleta kimbele mbele. Rostam nadhani amejifunza jambo hapo.
Kwahiyo unakubali kwamba Kenya serikali inaendeshwa na watu wenye pesa?, Kwamba maslahi ya matajiri yanazidi maslahi ya wakenya wengi?. Sasa hiyo ndio maana halisi ya siasa za Ubepari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom