Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
Naomba tubishane kwa hoja...Pedestrian reasoning hiiπππππ, eti kitabu kutungwa nchi husika!πππ, having a better educational system has got nothing to do with kutungwa kwa kitabu per'se, though kuna vitabu vingi vya different subjects written by Kenyan scholars, from research methods to mathematics, etc. na hilo sio hoja, lakini hizi fikra zako unaziokotaga wapi?πππππ., unanichekesha asubuhi, yaani your arguments ni kujaribu kutetea Tanzania ionekane iko sawa ata kama sivyo kiukweli, u hardly base your points on reality and facts, unajitoa ufahamu tu wazi wazi π π π π π π π
Elimu ya kenya ipo mbele kwa Tz kivipi?
Nimesoma na Wakenya wengi waliokuwa wanatoka shule za kenya kuja kusoma Tanzania tena mmoja wao ni Medical doctor pale Kenyatta hospital,mwingine ni MD wa kampuni kubwa sana hapo kenya(Sitoitaja jina kwa usalama wake ila ni company kubwa sana) Na hao wote nimesoma na kuanzia form one mpaka form four wengine tulimaliza nao mpaka six,darasani hawakuwahi kuingia ata top 10 japo walikuwa vizuri kwenye mombo ila kila class ovyo sana
Mwaka huu nilikuwa kenya nimegundua wakenya wengi wanaleta watoto wao Tz wapate elimu,nilipo uliza wakanijibu kuwa hapa kenya kuna elimu ya english tu ila mwanafunzi akimaliza hana ajira ni bora nimpeleke tanzoo akapate elimu ya kumsaidia.
Elimu ya kenya inachoizidi tanzania ni kuzungumza na kuandika lugha za mabwana wenu(Slave mentality) lakini ukimchukua mwanafunzi wa tz na ke halafu ukawaacha waoneshe ujuzi wao utagundua kuwa Vijana wa TZ wapo juu sana