The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
wewe ni mpumbavu wa wapi? China, Ujerumani, India, France, Italy wanatumia electric cargo trains kwahiyo hawajui huu ujinga unaoongea? Hivi unajua humu ndani kuna ma-engineer wengi wanajua hii maneno?
tangu zamani haujui kupost photos and images... heb jifunze. unatupa kazi ngumuUwekezaji wa PSSSF na wabia wake kwenye kiwanda cha nyama cha kisasa š
Ya kufanya nini? Simu zenu hazifungui screenshot?haujui kupost photos and images... heb jifunze. unatupa kazi ngumu
Sawa ila kwenu kuna njaa Sanatangu zamani haujui kupost photos and images... heb jifunze. unatupa kazi ngumu
matako hiišš½Sawa ila kwenu kuna njaa Sana
kwani nani kakuambia zetu ni rechargable battery-electric trains? Though zina uwezo wa kutembea kwa storage energy in the battery for some hours, the locomotives engines (motors) r mainly operated through pantography with current supplied directly from overhead line power supply!these are duos, two-in-one rail line. as in you can either use electricity or fossil fuel.. coz what i knw is tht, electric trains in transporting cargo is still under development šš½šš½
this was last year in the US. still under trial my beb
View attachment 2301571
Njaa itawaua ššmatako hiišš½View attachment 2301580
Mkuu, usihangaike na hao jamaa katika hili, lengo ni angalau waweze kujiliwaza baada ya nchi Yao kutokua na upeo wa kujenga reli ya umeme badala yake wamejenga diesel "old model"wewe ni mpumbavu wa wapi? China, Ujerumani, India, France, Italy wanatumia electric cargo trains kwahiyo hawajui huu ujinga unaoongea? Hivi unajua humu ndani kuna ma-engineer wengi wanajua hii maneno?
Halafu hii maneno ya kupanda bei ya mafuta itakuja kumliza mtu kipindi SGR inakamilika halafu JNHPP inakamilika pia! There is no way SGR Kunyaland itahimili ushindani dhidi ya SGR Tanzania!Mkuu, usihangaike na hao jamaa katika hili, lengo ni angalau waweze kujiliwaza baada ya nchi Yao kutokua na upeo wa kujenga reli ya umeme badala yake wamejenga diesel "old model"
Kama umesona "Marketing", Kuna kipengele cha "customer reactions after purchasing of any iteam. Mtu akinunua kitu cha thamani ndogo Kama dawa ya meno, kawaida hata Kama hiyo dawa sio chaguo lake, huwa hasikitiki Sana, ila ikitokea amenunua kitu chenye thamani kubwa Kama gari, lazima atajaribu kulipamba ili kuonyesha kwamba Hilo gari ni Bora hajafanya makosa kulinunua[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha ujinga wako, onyesha nchi yoyote Ile duniani ambayo ndani ya miaka ishirini iliyopita imejenga reli isiyotumia umeme kwa kisingizio cha kubeba mizigo.these are duos, two-in-one rail line. as in you can either use electricity or fossil fuel.. coz what i knw is tht, electric trains in transporting cargo is still under development [emoji1427][emoji1427]
this was last year in the US. still under trial my beb
View attachment 2301571
@Tony254Halafu hii maneno ya kupanda bei ya mafuta itakuja kumliza mtu kipindi SGR inakamilika halafu JNHPP inakamilika pia! There is no way SGR Kunyaland itahimili ushindani dhidi ya SGR Tanzania!
Hivi una akili kweli ewe?? Uache kuilinganisha my home town(mwanza) na mambo ya kipuuzi kama hayoila naona durban ni pa safi kama kisumu kabisa.. hivi kisumu na durban ni mandugu wa toka nitoke tukija kwa usafi na mpangilio.. kasoro tu size pekee.. š¤£š¤£š¤£š¤£
durbanšš½
View attachment 2300542
kisumu yetu dalaš¤£šš½ (hivi mwanza haiwezi fika hizi levels, ata kwa dawa!)
View attachment 2300543View attachment 2300544View attachment 2300545View attachment 2300562View attachment 2300546View attachment 2300547View attachment 2300548View attachment 2300549View attachment 2300550View attachment 2300551View attachment 2300553View attachment 2300554View attachment 2300555View attachment 2300556View attachment 2300578View attachment 2300579View attachment 2300559View attachment 2300560View attachment 2300561
Litakufa jitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha ujinga wako, onyesha nchi yoyote Ile duniani ambayo ndani ya miaka ishirini iliyopita imejenga reli isiyotumia umeme kwa kisingizio cha kubeba mizigo.
Kwa taarifa yako, electric locomotives Zina nguvu Ć2.5 zaidi ya zinazotumia Diesel. Nenda kasome topic ya "Mechanical advantages za Diesel vs electric engines/Motor.
Mechanical advantage ya diesel engine haizidi 35% wakati Ile ya electric ni over 90%, ndio sababu train za Tanzania za mizigo zitavuta tani 10K, wakati Kenya zinavuta tani 4K tu, kwa train Moja ya mizigo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app