NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Nimekuambia kwanini mnatumia maskrepa kama utensils mpaka Karne hii hutaki kujibu 😁😁😁
Hii ni restaurant Nairobi mpaka wageni wanatumia lakini vyombo vyake kama Magereza, hapo bado aina ya chakula
View attachment 2298263View attachment 2298264View attachment 2298265
Kuna restaurant level tofauti. Wewe ukija Kenya utakula kwa hizi za scrapes.