Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rock city 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
D1992DBC-E760-426B-983A-DC2800F4E015.jpeg
 
Shamba la bibi lazima tulikamue. Tanzania wakijua wewe ni mkenya huwezi kosa kazi, hata kama hakuna nafasi wataitafuta mpaka itokee. Alafu mkenya halipwi sawa na mtanzania hata wafanane kimasomo. Endeleeni kutu tajirisha wakati kenya ndugu zenu wanasugua masufuria ya vyombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Kwahiyo hizo nchi zote hapo ni shamba la bibi?, Jaribu kufikiria uzito wa hizo nchi mnazokimbilia kwenda kufanya kazi, linganisha na hizi hapa
1)South Sudan
2) Ethiopia
3)Somalia
4)Rwanda
5)Uganda
6) DRC
Kwanini msiende huko badala yake mnakimbilia USA, UK, Tanzania, South Africa na Canada?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi nielewa kwa IQ yako ndogo, kuna bantus kutoka tanzania walitekwa wakati wa slave trade na kupelekwa somalia. Mpaka waleo wanaililia GoT iwarudishe nyumbani kutokana na mateso wanayopitia.
Huna hoja
Tulia
 
One of the biggest goal we will remember JPM for is his reforms on mining act and establishment of the robust and effective local content pattern that enabled local players thus offered maximum participation in the mining field on different layouts

This is the local logistics player striken more than 4 million dollars contract deal to supply liquid fuels to the GGM for 2 years duration!

The man owns more than 300 trucks plying logistics to Rwanda, Burundi, DRC, SA, Zambia, Uganda, Malawi etc

Geita company BLUE COAST!

View attachment 2299569View attachment 2299570View attachment 2299571View attachment 2299572View attachment 2299573

Nicxie huyu pia ni Muhindi wa Geita [emoji16][emoji16][emoji16]
Uyu mwamba noma
 
Umefinya mikwara penyewe, been following the conversations, no meaningful answer from Tz, umewabana, wamebakia kutafuta excuses, trying to poke holes on what u have presented instead of bringing the equivalent from Tanzania, wanyonge kabisa with facts, chinja ua😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Tanzania tuna aviation schools almost kumi na tano
 
Picha za upande upande kama kawa, we all know that after good 20yrs GoK have succeeded to build only 1% of the so called 3 city, most of the area in that village is so bare or simply you can say it's uncovered. So, go and lie to your grandma.
 
Shamba la bibi lazima tulikamue. Tanzania wakijua wewe ni mkenya huwezi kosa kazi, hata kama hakuna nafasi wataitafuta mpaka itokee. Alafu mkenya halipwi sawa na mtanzania hata wafanane kimasomo. Endeleeni kutu tajirisha wakati kenya ndugu zenu wanasugua masufuria ya vyombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Sehemu nyingi nilizokutana nazo kwenye kazi na wakenya mnapata kashfa ya wizi japo sio wote lakini imawachafua sana. You guy's acheni udokozi kazini
 
Hivi ninyi mataahira mtapata lini akili? Ndio maana wanasiasa wenu wanawafanya watakavyo sababu wanajua hamna akili

Unawezaje kulinganisha extreme poverty ya Tanzania na kunyaland? Sio ninyi serikali yenu juzi imetoa subsidy kwenye unga nchi nzima ili mmudu bei ya unga? Sasa unataka kigezo gani kingine mmjue mpo kwenye extreme poverty whole nation? 😁😁😁

Mpo kwenye extreme Food poverty to begin with
Bongolala, I know you want to sound knowledgeable but you aren't. In fact, you are not even close to being knowledgeable about this issue. Is it not the role of the government to control the prices of basic goods and services within the country? Kama bei ya unga ilipanda kuna shida gani serikali kufanya subsidy ila bei ishuke? Ama wakenya waendelee tu kununua unga kwa bei ya juu kisa wewe umesema?

Even with that high price, were Kenyans not still buying maize flour? Ulisikia walisusia kununua Unga kisa bei ipo juu leading to losses in supermakets and retail shops? Stop beating around the bush and using examples za mambo hata huelewi. Mfumuko wa bei ikifanyika ni jukumu la serikali kufanya juu chini ili kudhibiti bei and subsidy is one of the mechanisms used. Stick to posting Kibera photos please coz that's what you know best!
 
TFF wanatakiwa wafanye jambo karume . Eneo lipo mjini sana kiwanja kikubwa lakini kipo under utilities , wajenge uwanja mkubwa pamoja na maduka kwa nje maana demand ya milango ya kufanyia biashara maeneo yale ni kubwa
TFF hamna kitu, kujenga office tu za maana wameshindwa, zile office zao hazina sura ya soka la Tanzania kabisa.
 
Bongolala, I know you want to sound knowledgeable but you aren't. In fact, you are not even close to being knowledgeable about this issue. Is it not the role of the government to control the prices of basic goods and services within the country? Kama bei ya unga ilipanda kuna shida gani serikali kufanya subsidy ila bei ishuke? Ama wakenya waendelee tu kununua unga kwa bei ya juu kisa wewe umesema?

Even with that high price, were Kenyans not still buying maize flour? Ulisikia walisusia kununua Unga kisa bei ipo juu leading to losses in supermakets and retail shops? Stop beating around the bush and using examples za mambo hata huelewi. Mfumuko wa bei ikifanyika ni jukumu la serikali kufanya juu chini ili kudhibiti bei and subsidy is one of the mechanisms used. Stick to posting Kibera photos please coz that's what you know best!
Nioneshe nchi ya ulimwengu wa kwanza inayotoa ruzuku ya chakula kwa mwezi mmoja ili kuwafanya raia wake wasizidi kufa njaa kama kunyaland

Ni failed state tu ndio hufanya hivi

Nioneshe nchi ya ulimwengu wa kwanza inayotoa ruzuku ya chakula kwa mwezi mmoja ili kuwafanya raia wake wasizidi kufa njaa kama kunyaland

Ni failed state tu ndio hufanya hivi

Ni wakenya wangapi walikufa njaa sababu bei ya unga ilipanda? Do you have any proof? I told you to stick to posting Kibera photos!
 
Back
Top Bottom