xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
Dawa ya usumbufu wa wakenya inatakiwa asap..ajaribu Uganda!
Dawa ya usumbufu wa wakenya inatakiwa asap..ajaribu Uganda!
Huo ni uoga wa ushindani kampuni zishindane kibiashara sio majunguTuliwaambia hakuna kampuni yenu inaweza toboa kenya[emoji23][emoji23]
Hebu Tazama hii video uangalie Dar es Salaam ilivyo acha kujifungia huko kenya mathare..street walk ka hizi bongo ni nadra sana. hawawezi tuonesha. kisa.. ni uswazi mtupu.
nairobi ni uzunguni ama half-london as SSH would say
Tazama Dar kijana...mji huu umewapita mbali sana...street walk ka hizi bongo ni nadra sana. hawawezi tuonesha. kisa.. ni uswazi mtupu.
nairobi ni uzunguni ama half-london as SSH would say
NIT haiwezi partner na Alpha kwasababu ni levels tofauti za Elimu, wewe vipi?, wacha kuchekesha watuBecause secondary school ni ya wanyama ama? Mbona NIT insingepartner na Alpha, hamna proper experience na flight simulators [emoji1787]
Kenya school of flying have a redbird full motion twin engine flight sim, NIT ilianza flight school recently nikama haina enough fleets for training students.View attachment 2298330
Hapo ulipozungumzia lord of the rings tayari nimesha ku analyze wewe ni mtu wa aina gani too sad ku argue na wewe ni kazi bure.Nope, nyie ni washamba and u lack international exposure, mpo mpo tu kizembe pale mitaani, like Hobbits in the Lord of the Rings movie., so don't confuse ushamba wenu na kutokujua mambo as being "not giving a F**ck" kinda stance., mmezubaa nani, yaani ukiuliza mtanzania wakawaida randomly kwa street about current affairs utadhani ni chizi, laana tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Those are partnerships we dont dictate we also have flying courses at NIT but it is a choice had it been a government school obviously wange partner na NIT but as for private they can choose to partner with anyone they wishFlying lessons they do them in kenya, get a kenyan license and then start conversion to tz wacha excuse
[emoji2088] [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088]
Hii ndiyo legacy ya Mteule wa Mwendazake anayoacha!
CC: Sukumangangs
Swali zuri sana.Ni sehemu gani ya Kenya ambayo hawajui ugali au ni kwenye hiyo sherehe ambako hata Tanzania vijijini ugali haupikwi kwenye sherehe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na chapati juu ili angalau ijazie tumbo. Wakati siye huku chapati twalia supu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimeshangaa sana kuona wameweka Ugali na Mboga kwenye bakuli za steel, aisee!
Ila nilichogundua ni kuwa, Wakenya wengi wana maisha magumu sana na since wanazaliwa kwenye maisha magumu wanayaona maisha ya ufukara ni kawaida sasa uki plus a prejudicial sense kuwa wako juu yetu kimaisha na kama nchi inakua ni rahisi kwa Mwehu kama dyfre kujidhalilisha na kupost picha za aibu kiasi hiki.
Aisee!
Angalia hizo pieces za Nanasi na Watermelon ni ndogo mno ili kila mtu apate piece moja. Angalia pia nyama picha za chini, ni Nyama za kuchemsha, yaani hata mafuta ya kutosha kukaanga nyama ni shida!
Uongo mtupu, nyinyi haya mambo hamna ulazima nayo mnapaswa mpambanie chakula kwanza not this fake life.Raw Nairobi., thanks Miss Trudy., [emoji91][emoji122][emoji122]
Mkuu, Kenya ni Nairobi na elites tu, hao wengine huko Turkana, Matsabiti, Porkot, Kibera & others na vijijini, hawana nafasi kabisa Wala sio muhimu hapo Kenya.Uongo mtupu, nyinyi haya mambo hamna ulazima nayo mnapaswa mpambanie chakula kwanza not this fake life.
Hii nyama na ile aliyopost dyfre ni tofauti kabisa,angalia kwa macho inapendeza na kuvutia [emoji39][emoji39][emoji39]Msa hawajui kupika huko lamu ndio ovyo kabisa,nikiwa mdogo likizo tulikua tunakuja msa huko,late Mama yangu alikua anaachiwa jiko kabisa,na huu utu uzima kuna cousin wangu kaolewa huko lamu nilienda kumtembelea,huo mchele wao tu TZ hata kwenye vitumbua awapikii,binafsi nilikula tu vyakula coz damu yangu inakula hivyo vyakula,kenya kupika hamjuiView attachment 2298108View attachment 2298109View attachment 2298110View attachment 2298112
Hadi football pitch noma sana
Mbona zipo nchi nyingi jirani na sisi anaweza kwenda na akapokelewa vizuri tu.ajaribu Uganda!
This is what make West African players flocking to Tanzania 😁😁😁
View attachment 2298384View attachment 2298385
Sasa wewe umeana hapo ni Somalia mjukuu? ulitamani kuona watu wenye njaa, pole sio makosa yetu, Nairobi iko ilivyo na hela tunayo, umevuna nyanya tununue zisije zikaoza ukakosa hela ya kununua chupi na chumvi?, zoea Kenya😜😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Uongo mtupu, nyinyi haya mambo hamna ulazima nayo mnapaswa mpambanie chakula kwanza not this fake life.