Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu huku bongo hata ordinary citizens nobody cares,hata kwenye media hakuna kinachozungumzwa kuhusu huyo incoming PM wa UK kwamba ana descendant yaKenya na Tanzania 🇹🇿,why,we Tanzanians r not bootlickers and don't give a fvck on issues that don't put ugali on our tables!
Nope, nyie ni washamba and u lack international exposure, mpo mpo tu kizembe pale mitaani, like Hobbits in the Lord of the Rings movie., so don't confuse ushamba wenu na kutokujua mambo as being "not giving a F**ck" kinda stance., mmezubaa nani, yaani ukiuliza mtanzania wakawaida randomly kwa street about current affairs utadhani ni chizi, laana tupu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
street walk ka hizi bongo ni nadra sana. hawawezi tuonesha. kisa.. ni uswazi tupu.
nairobi ni uzunguni ama half-london as SSH would say
Huyu ndiyo alisema
JamiiForums-95100567.jpg
 
ungejua Alpha ni secondary schools, usingekengeuka! So aviation school Kunyaland ina-partner na secondary schools in Tanzania kama level yake? Mbona isi-partner na institutes/colleges/universities?

Because secondary school ni ya wanyama ama? Mbona NIT insingepartner na Alpha, hamna proper experience na flight simulators [emoji1787]
Kenya school of flying have a redbird full motion twin engine flight sim, NIT ilianza flight school recently nikama haina enough fleets for training students.
redbird.jpg
 
Because secondary school ni ya wanyama ama? Mbona NIT insingepartner na Alpha, hamna proper experience na flight simulators [emoji1787]
Kenya school of flying have a redbird full motion twin engine flight sim, NIT ilianza flight school recently nikama haina enough fleets for training students.View attachment 2298330
wacha kujiabisha bana! Hao wanafunzi wa secondary hawaendi kusoma chochote cha maana zaidi ya school tours! Hamna avation courses ziko offered Alpha nursery, primary na secondary schools waje kufuata training huko!
 
Hivi ndivyo Mteule wa Mwendazake anayoacha!
CC: Sukumangangs

Kama unahasira meza boga!! By the way siro atakumbukwa kwa utendaji kazi uliotukuka kuanzia makazi 'vitendea kazi 'haki jamii 'vituo na hali ya ulinzi hakuna kama yeye 😂😂 katoka kanda maalumu kaingia kanda maalum meza wembe sasa we mkabila!!

*By the way naskia rostam azizi anazinguliwa na wakunya kuhusu gesi.....
 
ajaribu Uganda!
 
Back
Top Bottom