Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,121
- 31,382
Chakula cha kenya sina imani nacho isije kuwa nyama ya mzoga w mbwaya kusukuma wikiView attachment 2297434
Chakula cha kenya sina imani nacho isije kuwa nyama ya mzoga w mbwaya kusukuma wikiView attachment 2297434
Hizo chapati hazijapikwa vizuri na from the look zinaonesha ukizila ni kama unatafuna chupa, yaani ni ngumu.mngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geni sanaView attachment 2297412View attachment 2297413View attachment 2297414View attachment 2297415View attachment 2297420View attachment 2297427View attachment 2297417View attachment 2297418View attachment 2297419View attachment 2297421View attachment 2297422View attachment 2297423
Usinililie mimi 😂😂😂😂Umeumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kenya chakula ni kingi tu ungalijua.. mwanzo huko niliopo chakula mingi inaenda waste jili ya mabaki
Hiyo anayofanya hapo iko stipulated kwenye kipengele kimoja cha chinese class sgr.Saahii reli inapimwa kwa macho!
Mazingira ya karakana wewe ulitaka yawe vipi?Angalia hayo mazingira tu!
Aggressive marketing ndio inayohitajika hapa kwetu.
What he said is true.
Wakenya wanatedeka na mipango mkakati ya TANZANIA
Huu mwanzo tuu ,visiwa vyote hivyo miaka ya baadae vitajaa mahoteliWatangaze mafia na kilwa hili wawekezaji kama hao waje
Our markets are bracing for 24hrs operation. Wageni wengi from east, southern and central africa do their shopping in kariakoo hivyo 24hr operation itasaidia kupunguza cost ya wafanyabiashara wanaonunua vitu kariakoo for export.[emoji28][emoji28] yenyewe mko nyuma kama sasa hivi ndo mnataka kuweka floodlights kwenye markets, kwanza in dar [emoji1787]
Ni sehemu gani ya Kenya ambayo hawajui ugali au ni kwenye hiyo sherehe ambako hata Tanzania vijijini ugali haupikwi kwenye sherehe?mngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geni sanaView attachment 2297412View attachment 2297413View attachment 2297414View attachment 2297415View attachment 2297420View attachment 2297427View attachment 2297417View attachment 2297418View attachment 2297419View attachment 2297421View attachment 2297422View attachment 2297423
Hawa watu ni wapiga picha hodari wanapiga aerials nzuri na pia za upandeupande wanazipiga vizuri pia.Hehehheeee wallahi Wakenya wana view nzr za bongo kuliko sisi wenyewe [emoji8][emoji7][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kula githeri ukalaleIna ndege tatu kwa kichwa chako, hilo haliondoi ACTL kutowai pata faida katika historia yake licha ya serikali kuinunulia ndege [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku Tz hizo sahani na bakuli tunawekea mbwa na paka chakula.Kwanza hizo bakuli za chuma zinatumika kwenye detention centers kama vituo vya Police na Gerezani.
Hakuna Nyumba nimeingia nimekuta watu wanakuna kwenye bakuli za steel, yaani hata kuweka ugali kwenye sahani ni changamoto??
Mna hali mbaya sana ya kimaisha.
Acha ushamba wewe kampuni inaitwa Arab ContractorsHii ni racism, mbona wameandika Arabs only.
Kula githeri ukalale
Keshakubali😂😂😂