Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani watanzania wamejiaminishia kabisa hapa jf lakini menu yao tunaijua. Mon - Friday sima na matembele, Sat - Sun Makande. Njooni Mombasa tuwafundishe kupika muwache kunywa chai na mihogo cherema

😂😂😂😂😂
 
Figures zako za makalioni kwako! Shenzi!

Tanzania kuna internet users 30mil as of june 2022, My friend and don't start arguing!
Mimi ni mdau kwenye sekta hii! I present these figures to serious people! Kwa ajili ya Biashara! Acha kuniudhi hapa!

Kwanza kwenye tech mnajiover hype sana! Mna soo many shitty products...that are not functional....that don't solve an ordinary Kenyan problems! Mpo mpo kwenye kutaka sifa kwenye THE GUARDIAN UK na CNN on the ground nothing is practical.

Tanzania kweli pagumu,ila njoo uone technology inavyobadilisha maisha ya watu huku!

We develop reallife and practical solutions!


Kondoo punguza uchungu mlaumu Marcelly Marcelly mwenye ameleta link from Taifa Daily, better yet Kenya has been ontop of you and will still remain on top of you technologically, you can go hug a cactus[emoji1787][emoji1787] fool, data ya kenya kwani ukonayo
 
Huku Tz hizo sahani na bakuli tunawekea mbwa na paka chakula.
Nimeshangaa sana kuona wameweka Ugali na Mboga kwenye bakuli za steel, aisee!

Ila nilichogundua ni kuwa, Wakenya wengi wana maisha magumu sana na since wanazaliwa kwenye maisha magumu wanayaona maisha ya ufukara ni kawaida sasa uki plus a prejudicial sense kuwa wako juu yetu kimaisha na kama nchi inakua ni rahisi kwa Mwehu kama dyfre kujidhalilisha na kupost picha za aibu kiasi hiki.

Aisee!


Angalia hizo pieces za Nanasi na Watermelon ni ndogo mno ili kila mtu apate piece moja. Angalia pia nyama picha za chini, ni Nyama za kuchemsha, yaani hata mafuta ya kutosha kukaanga nyama ni shida!
 


Kondoo punguza uchungu mlaumu Marcelly Marcelly mwenye ameleta link from Taifa Daily, better yet Kenya has been ontop of you and will still remain on top of you technologically, you can go hug a cactus[emoji1787][emoji1787] fool, data ya kenya kwani ukonayo
Tutajie product hata moja ambayo ni ya wakenya halisi ambayo ipo sokoni na inafanya kazi na kutemgeneza faida kenya! Taja hapa tuone!
 

UK CITIZEN OF INDIAN DESCENT, AMBAYE PIA NI NUSU MKENYA NUSU MTANZANIA KWA MJIBU WA WAZAZI WAKE, BABA ALIZALIWA KENYA NA MAMA TANZANIA, AKO NA FURSA KUBWA YA KUONGOZA UK.

Rishi Sunak Widens Lead In UK PM Race, 115 Tory Lawmakers Back Him​

Race For UK PM: Sunak won the support of 115 Tory lawmakers, followed by Penny Mordaunt on 82 votes, Liz Truss on 71, Kemi Badenoch on 58 and Tom Tugendhat on 31​

WorldAgence France-PresseUpdated: July 19, 2022 8:11 am IST
View attachment 2296598
Former finance minister Rishi Sunak widened his lead in the latest round of voting on Monday.


London:
Former finance minister Rishi Sunak widened his lead in the latest round of voting Monday by Conservative MPs to decide Britain's next prime minister, but the race to get in the final two tightened.
Sunak won the support of 115 Tory lawmakers, followed by Penny Mordaunt on 82 votes, Liz Truss on 71, Kemi Badenoch on 58 and Tom Tugendhat on 31, who drops out as the last-placed candidate, the party announced.
MPs will keep voting until only two candidates remain, the winner then being decided by the party members.
Mordaunt had been bookmakers' favourite before the weekend, but lost votes from the previous round.

Foreign Secretary Truss closed the gap to 11 and can probably expect more support switching to her from Badenoch's backers, should the insurgent candidate be eliminated in the next round, promising a tense race to make the final cut Wednesday.
Television bosses earlier Monday scrapped a planned debate between the remaining contenders for Tuesday night after Sunak and Truss pulled out, said Sky News, which was due to host it.
"Conservative MPs are said to be concerned about the damage the debates are doing to the image of the Conservative party, exposing disagreements and splits within the party," it added in a statement.
Prime Minister Boris Johnson announced on July 7 he was quitting as Conservative leader after a government rebellion in protest at his scandal-hit administration.
He is staying on as prime minister until his successor is announced on September 5.
- 'Hunger Games' -
In the two previous televised debates -- on Channel 4 Friday and the ITV network Sunday -- the contenders clashed notably on whether to cut taxes to help ease a soaring cost of living crisis.
But Sunday's clash turned more acrimonious -- and personal -- with candidates encouraged to directly criticise one another and their proposals.
Sunak called out Truss for voting against Brexit, her previous membership of the Liberal Democrats, and her position on tax.
In turn, Truss questioned Sunak's stewardship of the economy.
Badenoch attacked Mordaunt for her stance on transgender rights -- a rallying call in the "culture wars" exercising the Tory right.
Paul Goodman, from the ConservativeHome website, likened the debates to a "political version of 'The Hunger Games'" and questioned why they had agreed to it.
"Tory MPs and activists will have watched in horror as several of the candidates flung buckets of manure over each other," he wrote.
He questioned why they would publicly accept to criticise the record of the government that all but one of them served in, or the policies they supported as ministers.
- 'Out of ideas' -
The main opposition Labour party has called for Johnson to leave immediately.
Its leader, Keir Starmer, called the candidates' withdrawal a sign of a party "out of ideas (and) out of purpose".
"Pulling out of a TV debate when you want to be prime minister doesn't show very much confidence," he added.
The government blocked attempts by Starmer to call a confidence vote in parliament to get rid of Johnson immediately, instead bringing forward its own confidence vote on the government as a whole.
During the debate, Johnson defended his government's record, citing the vaccine rollout and support of Ukraine.
"I believe this is one the most dynamic governments of modern times, not just overcoming adversity on a scale we haven't seen for centuries but delivering throughout adversity."
Former Labour leader Jeremy Corbyn joked that his one-time sparring partner was taking MPs on a "fantasy tour of this country".
Starmer called the outgoing leader a "vengeful squatter" in Downing Street.
Alafu huku bongo hata ordinary citizens nobody cares,hata kwenye media hakuna kinachozungumzwa kuhusu huyo incoming PM wa UK kwamba ana descendant yaKenya na Tanzania 🇹🇿,why,we Tanzanians r not bootlickers and don't give a fvck on issues that don't put ugali on our tables!
 
Hawa watu ni wapiga picha hodari wanapiga aerials nzuri na pia za upandeupande wanazipiga vizuri pia.
Uwakute wanapiga picha za ka Nairobi sasa alafu angle wanaifinya ili yale mauchafu yasionekane, unaweza kusema upo mbele kumbe upo ndani ya slum city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshangaa sana kuona wameweka Ugali na Mboga kwenye bakuli za steel, aisee!

Ila nilichogundua ni kuwa, Wakenya wengi wana maisha magumu sana na since wanazaliwa kwenye maisha magumu wanayaona maisha ya ufukara ni kawaida sasa uki plus a prejudicial sense kuwa wako juu yetu kimaisha na kama nchi inakua ni rahisi kwa Mwehu kama dyfre kujidhalilisha na kupost picha za aibu kiasi hiki.

Aisee!



Angalia hizo pieces za Nanasi na Watermelon ni ndogo mno ili kila mtu apate piece moja. Angalia pia nyama picha za chini, ni Nyama za kuchemsha, yaani hata mafuta ya kutosha kukaanga nyama ni shida!
Sure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CA6B3DD5-E03E-4395-BE75-FE9177E2DB4A.jpeg
 
Yani watanzania wamejiaminishia kabisa hapa jf lakini menu yao tunaijua. Mon - Friday sima na matembele, Sat - Sun Makande. Njooni Mombasa tuwafundishe kupika muwache kunywa chai na mihogo cherema

😂😂😂😂😂
Msa hawajui kupika huko lamu ndio ovyo kabisa,nikiwa mdogo likizo tulikua tunakuja msa huko,late Mama yangu alikua anaachiwa jiko kabisa,na huu utu uzima kuna cousin wangu kaolewa huko lamu nilienda kumtembelea,huo mchele wao tu TZ hata kwenye vitumbua awapikii,binafsi nilikula tu vyakula coz damu yangu inakula hivyo vyakula,kenya kupika hamjui
Screenshot_20220718-145850_Instagram.jpg
Screenshot_20220718-145835_Instagram.jpg
Screenshot_20220718-145810_Instagram.jpg
20220630_222705.jpg
 
Ni sehemu gani ya Kenya ambayo hawajui ugali au ni kwenye hiyo sherehe ambako hata Tanzania vijijini ugali haupikwi kwenye sherehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
the whole of mount kenya region ie. the kikuyu, meru and embu community do not recognised ugali as a staple, and would only be prepared on request.. also our brothers and sisters from the coastal region, would seldom sample ugali, even ask tony or mashashola, or mwathadan, or don yusuf, or coco reborn
 
Back
Top Bottom