Yeah! Ila Putin hii vita imemuonyesha jinsi alivyo dhaifu kutoka siku 3 hadi miezi 5,vita si mchezo na jeshi si lelemama wasemavyo jeshini. [emoji3][emoji3][emoji3]Kama anataka kuwapiga angewapiga saa hii kabla hawajajoin NATO. Wakishajoin NATO hawezi kuwagusa kwa sababu ya article 5 ya NATO. Natumai unafahamu article 5 ya NATO inasemaje?
Cc ichoboy01
Kumbe tuko pamoja, ule utelezi tu yaani hamu yote inakata huwa ninawaza mdudu mmoja ambaye ananitia kinyaa, huyu nadhani kwangu ni namba moja hapa duniani.Upo kama mimi, na hata nikigundua vyombo vimetumika kupikia hiyo mboga bado nitaona kinyaa.
Hii vita putin anatumia kama siasa ya kiulimwengu na ujue hii vita inaenda kuangusha NATO na wao washajua tayari kua wamezidiwa akili😂😂😂Yeah! Ila Putin hii vita imemuonyesha jinsi alivyo dhaifu kutoka siku 3 hadi miezi 5,vita si mchezo na jeshi si lelemama wasemavyo jeshini. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ichogal hope ameona basi imefika rwanda[emoji1787]
Mwanzo nilikuwa sijawaelewa. Sasa hivi ndio nimepata kujua, kumbe kizuri chao peke yao kwa kuwa kimefanyika kwao, ila chetu kizuri ni cha wote...hiki chakula ni cha wageni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hawataji EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu utapiga nyundo [emoji122][emoji122][emoji122][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Sawa mkuu, mimi ni wa St. Kayumba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wadanganyika najua wako locked wanaawatch presidential debate za Kenya because CCM is boring and uninspiring. Tanzania media na tv hakuna presidential debate na haitawahai kua sababu rais wao hawajui kuongea English na CCM ni mafala hawapendi freedom of speech. Siasa za Danganyika ni boring na hazina mvuto hato kidogo.
FYI sijui naibu rais wa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2296975
Inaonyesha aliyeumia zaidi ni mwenye pikipiki na ndiye aliyesababishiwa ajali. Inasikitisha sana.
Tuendelee kukikuza Kiswahili kwa viwango vya kimataifa [emoji106][emoji106]Swahili = Tanzania
Kweli mkuu? Siyo kwamba yeye ndio inamcost sana [emoji846][emoji846]Hii vita putin anatumia kama siasa ya kiulimwengu na ujue hii vita inaenda kuangusha NATO na wao washajua tayari kua wamezidiwa akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee. A Town iko moto sana cheki hiyo kijani inavyovutia. Mji wa kitalii kweli chalii angu.[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]
Hapa maana yake vyote vimewekewa taa, abiria wameongezeka, security ipo ya kutosha, mapato yataongezeka. Very good!!
Mutanipiga sasa 🏃♂️🏃♂️😂😂😂Ichogal hope ameona basi imefika rwanda[emoji1787]
kwani ni pikipiki au baiskeli?Inaonyesha aliyeumia zaidi ni mwenye pikipiki na ndiye aliyesababishiwa ajali. Inasikitisha sana.