Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The idiot sounds like The best 007 , hizi fikra na ndoto za alinacha zina align perfectly na zakeπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Karibuni sana
 
Wakenya wengi wanasema hivyo hivyo, ukweli ni kwamba wakenya waliaminishwa hivyo toka wakiwa watoto
Tony254
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya wengi ni akina nani? nani aliwaaminisha? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kwa vile nimeijua Tanzania sana kupitia jamii forums.., porojo wacheni, facts ziko wazi sana, hamudanganyi watu dunia ya leo, eti waliaminishwa.., weka proof hapa.., yaani mwalimu aonge kuhusu Tanzania shuleni? wapi? lini? Kenya ipi hiyo? apart from historia ya Kinjekitile na Nyerere etc nothing about Tanzania whether ni nchi tajiri ama masikini, so wacheni uongo, hii ni wivu na wishful thinking, blind patriotism tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kwanza kuhusu Nyerere I knew him on a positive light, so hizi porojo zenu mnaziokota wapi na nyie ni fukara, nchi ya watu wengi pato kidogo, mko na city moja yenye CBD moja, less tarmacked roads than Kenya, Uchumi hafifu ama na hizi tumeaminishwa?.., Kinjekitile Jr porojo rudisha vijiweni.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amka kutoka usingizini bana utajikojolea bure[emoji1787][emoji1787]
Hawa vilaza ni wajinga kuruka, mtu anaandika hadithi ili ajisikie vizuri, wanaumwa kuona tunawaacha mbali na facts ziko wazi sana., eti ameambiwa, a white lie, even Ugandans know better, huyu ni ndwazi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tupe skyline ambayo iko 10km from cbd in Nairobi
Wewe onyesha any skyline in Dar mbali na ako ka CBD kenyu surrounded by nyumba za wahindi na waarabu mnaita density., iwe 0.001km away ama 50km away wala sio hoja, hoja ni skyline outside your traditional CBD, kweli kunayo nifunge account?
ukipata coodip1 kindly nitag., la sivyo fyata, vijisababu havitakusaidia hapa.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…