Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee, nimezisoma comments zote kule twitter, nimeona tofauti kubwa kati ya Waganda na hawa Nyang'au. Jamaa hawana hata roho ya kikorosho kama wakaskazini, kwa kweli lazima wakenya watakuwa wanafundishwa roho mbaya shuleni, watoto huwa hawazaliwi na chuki.
Wakunya roho mbaya na wivu vipo ndani ya DNA zao, wanazaliwa na hyo kitu. Pia umaskini ni chanzo cha roho mbaya.
 
Vipi tena Tony254 😀😀
93BF2824-E882-4A0A-BFA8-590F8766E886.jpeg



 
Aisee, nimezisoma comments zote kule twitter, nimeona tofauti kubwa kati ya Waganda na hawa Nyang'au. Jamaa hawana hata roho ya kikorosho kama wakaskazini, kwa kweli lazima wakenya watakuwa wanafundishwa roho mbaya shuleni, watoto huwa hawazaliwi na chuki.
Wakenya roho mbaya iko kwenye damu,wivu umeanzia kwenye familia,kabila mpaka umetoka nje ya nchi yao,washagomba na nchi wanazopakana nazo zote sababu ya roho mbaya tu na wivu,kila kizuri wanaona wao ndio wanastahili kuwa nacho,yan wapo hivyo,at least wakenya wa msa ndio wako poa lakini si hao nyang'au wa kutokea bara huko
 
21st Century and someone can not even collect garbage. Wakati wanaojilinganisha nao wapo level ya kila takataka ishughulikiwaje.
Primitive
Nairobi ilivyooza unashindwa kuelewa audacity yao kujilinganisha na SA 😅😅😅 Nairobi ni jalala sijawahi kuona mji mchafu duniani kama Nairobi

Juzi suma ambao ni affiliate ya JKT wamezindua gari nzuri sana ya kukusanya taka, hii inaonesha namna Tanzania tunathamini mazingira na kupenda usafi

Kunyaland hili ni impossible

 
Dualing of eastern bypass coming on along well... There are just Soo many big roads under construction till keeping count is just Soo hard the utaskia mtu hapa akiuliza show us the 23,000 kms hehe jokes been traveling this past few weeks and almost every county construction of dual carriages is going on
 
Back
Top Bottom