Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The day GOK donated 45000 census kits to 5 african countries- Namibia, S. Sudan, Sierra Leon, Botwana and Mauritius
IMG_20220715_171959.jpg

IMG_20220715_171952.jpg
 
Hiyo ni maoni na fikra za mtu, not reality, it might be a mere hypothesis, wachana na sisi tupanue nchi yetu kote kote, wale Kenyan Somali wanaoishi hayo maeneo ni watu wa kujituma sana, ni infrastructure walikua wamekosa, ngoja uone tutakapo kamilisha hizo barabara zote za Northern Kenya vile watachangamka, sio wazembe kama nyie.,

Reality hii hapa kama hutaki fikra za mtu.
IMG_2826.jpg
 
Tazama how a real city looks like.., sio apartments za waarabu na wahindi unatuwekea humu eti density

Mifano ya Business and Office blocks, sio makazi ya watu

Tazama how The Mighty Jozi looks, kisha linganisha na huo upuzi wako.., (Johannesburg)
View attachment 2292455
The Emerging Nairobi., muonekano karibu sawa na Jozi.,

View attachment 2292456

Alafu ujinga inakudanganya chongchung unaweka hii takataka., ni kama tu soko la Eastleigh type
View attachment 2292458
Dar es salaam CBD
1000_F_494969705_4AAogvX9BDzoL6SihvDtBpKmDxV2Sq46.jpg
1000_F_494970042_8MSZRHguww7EFveFYSaUTBF3T201PmJB.jpg
 

Attachments

  • 1000_F_494971544_7BbXcnXIF4SeG0guQJSUsyY0L1muswau.jpg
    1000_F_494971544_7BbXcnXIF4SeG0guQJSUsyY0L1muswau.jpg
    125.6 KB · Views: 18
Sasa wewe ndio uko sahihi, CBD ya Dar hii hapa, ata ukiweka angles ngapi, ni Ile Ile design ya Mombasa, second tier City.., tazama, kadogo alafu apartments in the background kule mbele.., ukiendelea.., na hio ya Nairobi haija capture the whole of it., Nairobi sio size yenu tuusan.., kubali yaishe, u are coming up though, but hamjafika level ya Nai, tusidanganyane.., liko wazi sana, check pictures I've posted.., mwenye macho haambiwi tazama😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom