chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,675
- 45,906
Na Nilijua lazima ulete hii white elephant, tofauti na hii hakuna barabara mpya unayoweza kuleta zaidi ya zile already existing zinazofanyiwa maboresho na repair 😅😅😅Mbona unajitoa ufahamu.., ndio unaona maendeleo unadhani mmefika, bado mko na mwendo kilaza., ungefanya uchunguzi kabla ya kukurupuka😂😂😂😂
View attachment 2292492
View attachment 2292514
View attachment 2292516
View attachment 2292494
View attachment 2292495
View attachment 2292497
View attachment 2292498
Kama una ubavu leta barabara nyingine independent yenye urefu wa hata kilometers 200 😅😅😅