Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Wacha wajichekesheHawa jamaa wanadhani SA wanawakaribia lakini ukweli ni kwamba bado sana yani
Wacha wajichekesheHawa jamaa wanadhani SA wanawakaribia lakini ukweli ni kwamba bado sana yani
Dar ni Mombasa kabisaaa..,
Hii skyline ya Addis iko bomba sana Dar wala Nairobi haifikii hii skyline lakini out of cbd hamna kitu
Jikune kune sehemu flani tena 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nairobi hakuna brt wala electric trains hata bus stations hakuna how can you compare it with well established metropolis kama Dar, Joberg, Cape Town miji ambayo vitu vyote hivyo vinapatikana.
Airline ya miraa sio? all destinations zipo Somalia tu!Let me bring your attention to freedom airline, headquartered at JKIA with a fleet size of 15 planes including Airbus
Hiyo ya juu ina filters kibaoHebu ngoja tulinganishe View attachment 2291566View attachment 2291567



Mambo yanaanza kuiva sasa, Northern vipi hapa mna utetezi gani, naendelea kuwazoom nikiwa na kikombe cha gahawa na hii baridi nasubiri burudani tuPretoria ina BRT,train ya speed 160km/hr, proper and well maintained roads,sizable population, high per capita, well planned inazidi hata Mumbai kaa kila angle sembuse Nairobi View attachment 2291524View attachment 2291525View attachment 2291526View attachment 2291527View attachment 2291528View attachment 2291529View attachment 2291530View attachment 2291531View attachment 2291532




More pax to JKIA.Airline ya miraa sio all destinations zipo Somalia tu!
Come on Don ,you can't be serious like thatIt is above Dar not Nairobi..,




Ilikuwa huko nyuma sasa hivi tumeamka, viongozi wetu wako na mipango mkakati kuinua kilimo chetu. Hatuwezi kuamka na kuanza kulima na hapo hapo tukavuna.Yaani in other words kwa wasio elewa kama wewe mnaambiwa nyie ni vilaza sana, na mnaonyeshwa jinsi mnavyo weza kuamka na kutumia rasilmali zenu ku impact Africa foodwise, muache uzembe., yaani mko na potential ila hamjitumi.,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Mbona nyinyi mnamsema vibaya Tony kwamba anaisifia TZ?Hawapendi mtu yeyote anaye waambia ukweli ama kuwa challenge, especially kama hawana majibu to respond to the presented issue, idiots![]()
Picha ya pili kuna kunyan alipita hapo akadai yupo CBD while ipo km 7 toka hapo
Fair enough, Kila la heri., yaani odds zote are in your favour, mki fail shauri yenu.Tlikuwa huko nyuma sasa hivi tumeamka, viongozi wetu wako na mipango mkakati kuinua kilimo chetu. Hatuwezi kuamka na kuanza kulima na hapo hapo tukavuna.
Ikifika mpaka 2025 hatujafanya kitu uje hapa utucheke![]()
Mbona picha moja imechukuliwa from a higher altitude compared to the rest.Haya tulinganishe. I want you to rank them from first to last.
View attachment 2291584View attachment 2291585View attachment 2291587
Sometimes inashangaza sana.Ila ndio hivyo tumeanza. Mipango ni mizuri kama itatekelezeka.Fair enough, Kila la heri., yaani odds zote are in your favour, mko fail shauri yenu.


Nisamehe sitarudia tena. Hiki kiboko ambacho umenichapa ni kizito sana. SA haistahili kuwa Afrika. Wao wako dunia nyingine kabisa.Tony254 mimi nisionekane kama naongea matope,nimeweka evidence hizi,sasa hesabu mall zote zinazozidi 65k sqm alafu uniambie two river ingeshika namba ngap...
Wao wameweka kwa maeneo yao makubwa kama Johannesburg, Cape Town,Pretoria na Durban View attachment 2291637View attachment 2291638View attachment 2291639View attachment 2291640View attachment 2291641View attachment 2291642
No wasn't switched on but the owner was leaving...ready kutoka una maana gani ilikuwa ilikuwa switched on?
Wewe jamaa niaje unaleta picha za Addis hapa? Umechanganya za Nairobi na Addis!Skyline ni skyscrapers mjukuu, na hapa yanahesabika, very few, zimeshinda za Dar kidogo tu., lakini hazifikii Nairobi.., City ya CBD moja tu kama Dar, alafu uitaje sentensi moja na Nairobi, mjukuu hiyo si ni kichaa!!,![]()
![]()
![]()
View attachment 2291564
View attachment 2291571
View attachment 2291568
View attachment 2291581