Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu ngoja tulinganishe
tapatalk_-762787837_512x316.jpg
tapatalk_540263050_654x442.jpg
 
Mimi nilidhani tunazungumza ukubwa wa mall moja moja ndio maana nikasema two rivers ni bab kubwa? Sasa mbona unakwenda kwenye total mall space? Hata hapo kwa total mall space Kenya ni ya tatu.
Hata ya moja moja ntaleta mkeka kwanza uone,najua two river ni 65k sqm
 
Kwahiyo kaonesha xpress way Ndio ana compare na hii skyline
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 2291562
Skyline ni skyscrapers mjukuu, na hapa yanahesabika, very few, zimeshinda za Dar kidogo tu., lakini hazifikii Nairobi.., City ya CBD moja tu kama Dar, alafu uitaje sentensi moja na Nairobi, mjukuu hiyo si ni kichaa!!, 😂 😂 😂 😂
1657892198867.png

1657892380853.png

1657892263839.png

1657892710683.png
 
Apo most of em are tenants ,Mimi naishi in my house a 4bedrooms, five washrooms in a half an acre plot .Nna bustani za mbogamboga,nna mbuzi kadhaa na kuku ,mi bonge la boss apo,hao wapuzi wengi wanastruggle hata kulipa kodi
Tuusan how many times do we have to tell you that units in real estate are sold/morgaged not rented. Hapo utapata 3 bedroom unit inauzwa 8million.
 
So the joining of DRC to east Africa is what has made the bechtel company so eager to sign the construction of the Mombasa Nairobi expressway after walikua wameringa nkt! But I know it will he a game changer... The longest expressway In Africa I believe the truck drivers headed to congo and Uganda will enjoy....

Trucks again, I thought your SGR plus old outdated wagons was your way forward
 
Mkenya akiulizwa ati nje ya CBD kuna Nini utaona wakitaja.

Upperhill
Westlands
Kilimani
Parklands
South C

And they attach the pictures of the named places.
Upperhill

View attachment 2291521
View attachment 2291551
Westlands
View attachment 2291522
View attachment 2291541
View attachment 2291542
Kilimani

View attachment 2291533
View attachment 2291545View attachment 2291546

South C
View attachment 2291552View attachment 2291554View attachment 2291556View attachment 2291558
Alafu mjukuu wangu The best 007 anaitaja Addis Ababa same sentence na Nairobi., hiyo ni dhambi, na mwingine anasifia Luanda Angola due to aesthetics 😂 😂 😂 😂 .,

The best 007 nionyeshe sehemu ya Dar nje ya hii👇👇 CBD yenu moja yenye level kama picha ya pili (UpperHill, Nairobi) nihame JF., kuna sehemu yeyote kweli hapo Dar outside CBD kama UpperHill?
1657893270790.png

UpperHill skyline..., Nairobi's 3rd CBD
1657893047394.png
 
Tuusan how many times do we have to tell you that units in real estate are sold/morgaged not rented. Hapo utapata 3 bedroom unit inauzwa 8million.
Alafu utapata zile vitu zote ametaja inafika Ksh4m max wakati unit moja ya nyumba Nairobi ni Ksh8m!
 
Back
Top Bottom