Mkuu umemalizaTony254 mimi nisionekane kama naongea matope,nimeweka evidence hizi,sasa hesabu mall zote zinazozidi 65k sqm alafu uniambie two river ingeshika namba ngap...
Wao wameweka kwa maeneo yao makubwa kama Johannesburg, Cape Town,Pretoria na Durban View attachment 2291637View attachment 2291638View attachment 2291639View attachment 2291640View attachment 2291641View attachment 2291642
Eti wanalinganisha skyline ya kisasa ya Addis vs skyline mapengo na bado ikapigwa lipstick![]()
Kuna siku nilisafiri miaka hiyo nilipita barabara ya Juu, Huku kwetu kusini tumeanza kuaziona miaka ya 2010s.
Mbona tuko sawa kwenye estimate au kwavile nilisema percent ndogo tuu ya urban dwellers live in poverty? Hata hiyo 30% ya urban dwellers who live in poverty ni fair estimate but statistically insignificant compared to the whole country data.Hapo napinga. Nasema at least 30% ya urban dwellers wanaishi in poverty.
Hapa unapajua?Alafu mjukuu wangu The best 007 anaitaja Addis Ababa same sentence na Nairobi., hiyo ni dhambi, na mwingine anasifia Luanda Angola due to aesthetics![]()
![]()
![]()
.,
The best 007 nionyeshe sehemu ya Dar nje ya hiiCBD yenu moja yenye level kama picha ya pili (UpperHill, Nairobi) nihame JF., kuna sehemu yeyote kweli hapo Dar outside CBD kama UpperHill?
View attachment 2291592
UpperHill skyline..., Nairobi's 3rd CBD
View attachment 2291589
Sijaelewa hii.
Dar ukitoka cbd pitia kijiko kabisa ukale nyama utanishikuru baadae.Dar ukitoka CBD kuna Nini?
Mingi hapo ni appartments za waarabu na wahindi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Jf wajuaji wengi sana, kuna msauzi pale nairaland ntakupa username yake uende upitie posts zake ndo utanielewa vizuri.
Hawa jamaa wanadhani SA wanawakaribia lakini ukweli ni kwamba bado sana yaniMkuu umemaliza
Kwenye league tumewaacha mbali mno bingwa TPL anapata milioni 600 bingwa Kenya anapata milioni 40Wakunya huku mtafika lin






Iyo mombasa hapana imekaa kienyeji sanaMingi hapo ni appartments za waarabu na wahindi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dar CBD ni hiihapa mjukuu., sio kule kando.,
Dar CBD..,
View attachment 2291685
Mombasa town coverage imeishinda kwa ukubwa na upana.,
View attachment 2291687
Wakunya GDP inawaongopea sn wanadhani Ethiopia ni level yao, wamepitwa GDP tayari washaanza kuiogopaEthiopia Tayari imewapumulia GDP, Kitu wanachokihusudu kuliko chochote , Addis ina Public transport ya maana, Mabus makubwa na Light rail, Wana rail ya Umeme pia, wana wanja la maana la Ndege. Airline yao ni Balaaa, Wale jamaa walikua na Fly over kabla hata ya 2005Kuna siku nilisafiri miaka hiyo nilipita barabara ya Juu, Huku kwetu kusini tumeanza kuaziona miaka ya 2010s.
Angalia tu historia yao kwanza, sio wenzetu wale
View attachment 2291681











Hawa wahabeshi bado bado,angalia pop yao ni wengi sana ukilinganisha na gdp wanayozalisha,Kenya imewazidi kila kitu, Ethiopia hata Tz tumewazidi,sometimes GDP inapumbaza, Namibia imeendelea sana kuliko nchi yyte a.mashariki lakini kwakua gdp yao ni ndogo tunajiona tunawazidiEthiopia Tayari imewapumulia GDP, Kitu wanachokihusudu kuliko chochote , Addis ina Public transport ya maana, Mabus makubwa na Light rail, Wana rail ya Umeme pia, wana wanja la maana la Ndege. Airline yao ni Balaaa, Wale jamaa walikua na Fly over kabla hata ya 2005Kuna siku nilisafiri miaka hiyo nilipita barabara ya Juu, Huku kwetu kusini tumeanza kuaziona miaka ya 2010s.
Angalia tu historia yao kwanza, sio wenzetu wale
View attachment 2291681
Hii Airport ilikuwa designated as international airport kwaajili ya kusafirisha miraa tuu to international destinations.Haya mambo ya kukurupuka haya
It is still a myth to me that why do you guys hate your nationality and at the same time brag about how great Kenya is? Or why can't Mtembezi254 and the rest of you be our brothers and still embrace your original nationality?Yani huyo ndugu yenu mshamnyang'anya uraia wake? 😂😂😂
Pathetic!
Nairobi hakuna brt wala electric trains hata bus stations hakuna how can you compare it with well established metropolis kama Dar, Joberg, Cape Town miji ambayo vitu vyote hivyo vinapatikana.It is above Dar not Nairobi..,
Huwa wanakurupuka kushindana na Tanzania lakini wanasahau sisi huwa tunaweka misingi mizuri katika projects zetu hatushindani na mtu.Matatizo ya kukurupuka bila mipango haya
Safi sana. Acha me niendelee kulima japo ngedere wa mama wanakula sana mahindi yangu shambani ipo siku yao nitawaleta Chamwino aishi nao, Alaah!!Apo most of em are tenants ,Mimi naishi in my house a 4bedrooms, five washrooms in a half an acre plot .Nna bustani za mbogamboga,nna mbuzi kadhaa na kuku ,mi bonge la boss apo,hao wapuzi wengi wanastruggle hata kulipa kodi

