Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kwa akili yako mlima ndio unafanya mshindwe kupeleka maji Turkana kwani mto hauwezi ukakwepa mlima au akili yako inawaza kuwa river itakuwa inaenda straight tuu from lake victoria to Turkana bila meandering?

Sometimes muache excuses and start using your brains.
 
Hii hadithi huwa inawachoma wachawi fulani sema basi hawana kitu watafanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo picha uliyoweka pia kuna makazi.
 
Diplomasia ilitumika tena kipindi kile cha Lowasa akiwa Waziri mkuu kama sijakosea, mwanzo walitaka kuweka ngumu akawaambia ujinga huu ziwa letu halafu tushindwe kutumia maji.

Usinitake evidence tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3]

Mkiyataka haya maji ongeeni vizuri na Tanzania kuondoa baadhi ya mashrti yaliyowekwa tangu enzi ya mkoloni ili muweze kupata maji maana msishangae mnaambiwa mnamiliki asilimia ndogo sana ya Ziwa hivyo maji kwenu hayaruhusiwi kuvunwa.

Mkataba ndio kila kitu. Uchunguzeni kwanza kabla hamjachukua hatua yoyote.
 
Hawatoweza kupata ndiyo maana wapo kimya,hii ngoma ni nzito kwao
 
Hatari babu, li Nicxie likiona linachukia kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa nini cha ajabu hapo bongolala? Helipad ndio hujawahi ona ama?
 
Hapa umemaliza mjadala, walikuwa wanapambana kutafuta mji Kenya wenye 4°C kama Njombe wamekosa sasa wewe umewaua kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc Nicxie KENPAULITE
Nilikuambia unapenda ligi za kijinga.
Niambie ni wapi Tanganyika you've ever recorded -2 degrees temperature

 
Same with you, you got water sources from lake victoria yet you are crying here due to hunger why don't you utilise your resources to bring water to northern kenya and for cultivation muondokane na njaa?
That water is guarded by a treaty, the Nile Treaty. Secondly, it is a shared resource so Kenya does not have complete control over it unlike your minerals which are the property of Tanzanians and Tanzanians alone
 
Acheni unyonge na inaction chukua maji lake victoria and stop complaining here.
Go and do some research about something called the Nile Treaty. All the countries that signed that treaty have gone against it except Kenya
 
All the countries that signed this treaty have all gone against it in one way or another, Tanzania included. I think it's high time we did the same
 
Hapa umemaliza mjadala, walikuwa wanapambana kutafuta mji Kenya wenye 4°C kama Njombe wamekosa sasa wewe umewaua kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc Nicxie KENPAULITE
Coco reborn anakuambia yeye apendi baridi kabisa but imagine kunyaland ingekua na kiwango cha hadi 1° angekuja na nyodo humu 😀
 
Sema kwamba Kunyaland wailamba miguu Tanzania .Na hatuwawekei hiyo reserve maana haiko kwenye mkataba wa EAC Ili wakanunue Mexico na Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…