Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nafurahia demokrasia ya aina hii. Viongozi wakileta ujinga tunawang'atua kwa nguvu ya umati. Tunaingia ikulu kimabavu tunakunywa chai na kupumzika kwenye viti vya ikulu na kulala kwenye vitanda vya ikulu.
Serikali za africa wanajesh wengi hamnazo watapiga risasi watu mpaka stoo zao ziishe....[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Amsaidiaje wakati kwake kwenyewe kunafuka moshi? Usikute amekimbilia US au nchi za mlengo wa US na UK.
Alisema hawezi omba msaada west na atasaidiwa na Urusi akasahau kanuni za Uchumi
 
Ulivyo andika tu unaonekana hujawahi kukanyanga Tz mpaka unachanganya kata,wilaya na mikoa sehemu moja.....Eti ngorongoro,serengeti,loliondo mara morogoro [emoji22][emoji22] Ongeza bidii ipo siku utafika tu maana ndio kimbilio kubwa wakenya kwa sasa
Endelea kuota unadhani mimi ni mzaliwa wa tz
 
Mimi mwenyeji wa mikocheni b, wacha dar propaganda boy nimezunguka tz, dodoma,morogoro, tanga,arusha,loliondo, serengeti,ngorongoro,mpaka vijijini mimi si wewe mpuuzi wa kuokota mapicha [emoji1787][emoji1787]
Ile tour van ya kula Bata ni bei gani per day?
 
Kwanza asante kwa kukubali kwamba kiswahili kilianzia kenya, ikija kwa ku- spread kiswahili siwezi pinga mchango wenu. Mimi personally huwezi nipata nikidharau mtu kisa hajui kuongea kizungu, hio ni slave mentality, nikiona mkenya mwenye hio tabia hua nasikitika sana.
 
naomba mkenya yoyote duniani anioneshe street level kutoka mombasa za viwango hvi akipatikana anitag nifunge acc 🀣🀣🀣

nieleweke vzr street levelπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

nimepita baadhi ya maeneo machache sana mwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…