Hela si ni zetu? Mbona maumivu?Bei ya 2019 Mexico bila taxes bila logistics to kunyaland is more expensive than current Tanzania's maize at your doorstep!
View attachment 2285948View attachment 2285949
Hivi kweli Hilo ndio linakufanya uwe unapost kwa shangwe kila tukio Kama Hilo likitokea Kenya?, Sio kweli ninakataaNimeshakueleza mara nyingi kwamba watu wengi ambao wanaandikwa kazi na hizi international companies ni Wakenya. Hii WHO ambayo inakuja Kenya ni UN organisation na itaajiri watu 150 na kati ya hao lazima kuwe na wapishi, drivers, secretaries na kadhalika na wengi wao watakuwa ni Wakenya. Kwenye speech ya rais Uhuru jana kwenye hafla hii alisema kwamba WHO itaajiri watu 150 mwanzoni kisha itaongeza idadi ya wafanyikazi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
Itakavyofika wala usijali. Wewe ni mwananchi asiye na msemo wowote kuhusu mambo kama hayo. Wewe utabaki tu kuwa "mpenzi mtazamaji" πππMahindi kutoka Zambia mnapitisha wapi? πππ
Kwanini msinunue kwa ndugu zenu Sudan au Somalia?
Mkuu wakijibu nijulishe, ngoja niende kupata Konyagi kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli ali lie nn?
Hakujenga electrifitried SGR?
hakujenga BRT?
Hakujenga bus terminals nchi nzima?
Hakujenga masoko ya kisasa nchi nzima?
Hakujenga meli kubwa na za kisasa kuliko zote East and Central Africa?
Hakujenga JNHPP?
Hakujenga ports?
Hakujenga Ikulu ambayo nyie mpk leo rais wenu anakaa kwenye choo cha mkoloni?
Hakuijenga Dodoma inayowapea stress kila kukicha?
Hakusambaza umeme kila kijiji kwa bei rahisi?
Hakupeleka maji sehemu ambazo zilikuwa na shida ya maji hususan vijijini?
Hakujenga cable stayed bridges?
Hakujenga biggest airport in East and Central Africa?
Hakujenga hospitali za kisasa nchi nzima?
Hakujenga flyovers?
Hakujenga interchange?
Hakujenga barabara za kiwango nchi nzima?
Hakujenga madaraja nchi nzima?
Hakununua ndege za kisasa na kubwa?
Hakukarabati mgr? Magufuli aliongopa nn?
Magufuli na Uhuru nani muongo?
Uhuru aliwaahidi atajenga electrifitried SGR, alijenga?
Uhuru aliahidi laptop kwa kila mwanafunzi alitoa?
Uhuru aliahidi kumaliza njaa Kenya imeisha?
Uhuru aliahidi kupunguza tatizo la ajira, je alipunguza?
Uhuru aliahidi kuondoa ma slums Kenya je kayaondoa?
Tell me, Magufuli na Uhuru nani muongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poverty kingdom evidence πππ"Shamest" of course ππππ
Well, "shamest" ni kuwa nchi yenye idadi kubwa ya people living in extreme poverty
Magufuli ali lie nn?
Hakujenga electrifitried SGR?
hakujenga BRT?
Hakujenga bus terminals nchi nzima?
Hakujenga masoko ya kisasa nchi nzima?
Hakujenga meli kubwa na za kisasa kuliko zote East and Central Africa?
Hakujenga JNHPP?
Hakujenga ports?
Hakujenga Ikulu ambayo nyie mpk leo rais wenu anakaa kwenye choo cha mkoloni?
Hakuijenga Dodoma inayowapea stress kila kukicha?
Hakusambaza umeme kila kijiji kwa bei rahisi?
Hakupeleka maji sehemu ambazo zilikuwa na shida ya maji hususan vijijini?
Hakujenga cable stayed bridges?
Hakujenga biggest airport in East and Central Africa?
Hakujenga hospitali za kisasa nchi nzima?
Hakujenga flyovers?
Hakujenga interchange?
Hakujenga barabara za kiwango nchi nzima?
Hakujenga madaraja nchi nzima?
Hakununua ndege za kisasa na kubwa?
Hakukarabati mgr? Magufuli aliongopa nn?
Magufuli na Uhuru nani muongo?
Uhuru aliwaahidi atajenga electrifitried SGR, alijenga?
Uhuru aliahidi laptop kwa kila mwanafunzi alitoa?
Uhuru aliahidi kumaliza njaa Kenya imeisha?
Uhuru aliahidi kupunguza tatizo la ajira, je alipunguza?
Uhuru aliahidi kuondoa ma slums Kenya je kayaondoa?
Tell me, Magufuli na Uhuru nani muongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa Uhuru Kenyatta hiyo ni kuwekeza ili apate kandarasi mbalimbali kwa ajili ya biashara zake siku zijazoSerikali ya Tanzania haiwezi kufanya huo upuuzi wa lobbying kwa global organisations na multinationals ili wafungue offices Tz. We have better use for our money.
Huwezi kuniambia kwamba mama wa kuosha ofisi na kupanguza desk atakuwa ni mzungu. Anyway, Wakenya tumesoma hata hizo managerial positions tunapata. Kwa mfano Microsoft research Headquarters ya Nairobi imeandika Mkenya kama CEO.Nani kakudanganya kuwa wataoajiriwa ni wakenya tuu unaijua vizuri recruitment system ya WHO.
Figurative speech.
Sema tu una wivu tutakuelewa. Sio WHO pekee imeleta headuarters Kenya. Kampuni karibu zote international zinakuja Nairobi.Kwa Uhuru Kenyatta hiyo ni kuwekeza ili apate kandarasi mbalimbali kwa ajili ya biashara zake siku zijazo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo UHURUTO hawakusema watafikisha SGR hadi Malaba baadae wataweka umeme?."Tunajenga na hela za ndani" [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nionyeshe mahali Uhuru alisema atajenga electric sgr
Nionyeshe mahali alisema atamaliza slums Kenya. (Na mbona Magu hakumaliza uswazi zinazokaba jiji lenu koo?)
Where did he promise to end hunger in Kenya?
Wacha kuweweseka bongolala.
Muwe na hela kisha msaidiwe chakula?Hela si ni zetu? Mbona maumivu?
Skilled labour?, Kwahiyo Geneva Kuna skilled labour kuliko nchi zote hapa duniani?. Kenya Kuna skilled labour kuliko nchi zote Afrika?.Achana na huyo. Availability of skilled labour is one of the reasons why these organisations are trooping to Kenya sasa yeye Anasema nini
Hii ni figurative au English doro? πππFigurative speech.
Wacha ujinga. Mbona Dubai ni headquarters ya Middle East na kila organisation inawekeza Dubai na hio ndio imeifanya Dubai kuwa a global city. Vile vile Singapore ni headquarters ya South-East Asian countries. Ukitoa South Africa basi Nairobi ndio headquarters ya Sub-Saharan African countries. Na siku hizi hata makampuni zinasusia kuenda South Africa zinakuja Nairobi kwa mfano google. Huwezi kuniconvince kwamba international companies kuwekeza Nairobi ni jambo mbaya. Nyie mnahisi wivu tu kwa sababu hakuna kampuni au organisation ya kimataifa hata moja imewekeza Africa au East African headquarters hapo kwenu.Hivi kweli Hilo ndio linakufanya uwe unapost kwa shangwe kila tukio Kama Hilo likitokea Kenya?, Sio kweli ninakataa
Wewe kinachokufa uwe "excited" ni sifa kuona maofisi na HQs za kimagharibi zinafunguliwa Kenya bila hata kujali Kama zinawasaidia wakenya.
Hivi kweli kelele zote hizo ni kwasababu ya ajira chini ya watu 300, tena hapo Nairobi wakati hakuna sehemu zingine za Kenya zinazofaidika?.
Sasa mbona Kenya tatizo la ajira linazidi kuongezeka kwa Kasi kuliko nchi zingine hapa EA ambazo hakuna hata ofisi Moja ya UN?.
Kenya mtapata taabu Sana kwasababu hamtaki kujenga uchumi wenu wa ndani badala yake mnategemea Sana watu na Mashirika ya nje kuja kuwajengea uchumi, au kwenda kufanya kazi nje ya nchi yenu ili kutuma pesa Nyumbani, hii ni hatari Sana.
Lazima muwekeze kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii, madini, ujenzi na uzalishaji viwandani ndio ufumbuzi wa ajira, na kumaliza njaa hapo Kenya, hayo ya ofisi za UN na makampuni ya kimataifa yanazidi kufanya maisha kuwa magumu kwa wakenya kwasababu
1)Wafanyakazi wa UN watalipwa pesa nyingi, hivyo watakuja na demand kubwa ya kununua bidhaa za Kenya kwa wingi, hii itaongeza Bei za bidhaa na kusababisha ongezeko la "inflation rate"
2)Kutakua na tofauti kubwa ya kipato Kati ya watu wanayoishi Kenya Kati ya waajiriwa wa UN na HQs ya makampuni ya nje na wale waajiriwa serikalini, hivyo kupunguza mirali ya wafanyakazi na kusababisha rushwa kuongezeka nchini na kupata kwa "crime rate"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Those were political promises. Magu naye aliwadanganya kuhusu utendakazi wake. Haya ni mambo mawili tofautiKwahiyo UHURUTO hawakusema watafikisha SGR hadi Malaba baadae wataweka umeme?.
UHURUTO hawakusema watakamilisha mradi wa Galana Kulalu ili Kenya iondokane na aibu ya njaa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
70%? Data za vijiweni, sivyo?Hii ni figurative au English doro? πππ
Almost 70% of kunyaland have stacked kwenye tope la ufukara πππ
View attachment 2285966
Those were political promises. Magu naye aliwadanganya kuhusu utendakazi wake. Haya ni mambo mawili tofauti