KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Ile juice ilikua inatrend sana kenya that was introduced by a Tanzanian ni masafi but originally from dubai hii azam hamna kitu kenyaSasa unataka kuona kila kitu kilichopo Kenya kwa macho yako ndio uamini?, Kwani ulishawahi kuiona njaa huko Kenya?, Lakini mbona inasumbua na watu wenu wanaokufa?.
Azama food products and Energy drinks are widely available in Kenya, especially in Mombasa are household goods like Bongo music
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa nyinyi mlikua stone age[emoji1787]Bichwa mkate . Kumbe hivi shapeless mode of transportation mmeanza kutumia kitambo
Hizi hasira, maumivu na wivu zitakunyonga nani 😂 😂 😂 😂 😂Masikini wa kutupwa hawa jamaa, zaidi ya kujisifia hakuna kitu wanaweza, wanashindwa hata kupambana na South Sudan sokoni?
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
His mind is still colonized [emoji28]Therefore you want Tanzania to compete with Germany products in Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shida sio kuteka bali uwepo wa bidhaa za Tanzania kwenye soko la KenyaKonyagi hazijateka soko la spirits Kenya wewe jamaa. Usiongee upuuzi. Njoo Kenya uone ni spirits gani zinauzwa kwa maduka.
Acha hizo ameondoka ameshindwa Mchuchuma na Liganga,Bagamoyo port.Hilo daraja la jangwani ndio hakutaka hata kugusa kabisa.Tatizo majadiliano yanakuwa mengi na yanachukua muda mrefu. Hapa mzee baba ndipo alipokuwa akiweza, akisema kitu unaona ndani ya muda mfupi kazi zinaanza kufanyika.
Mradi wa ujenzi wa daraja la Jangwani na mto Msimbazi vipi mbona hatuoni muendelezo?Shida ni pesa au mkandarasi hajapatikana [emoji848][emoji848][emoji848]
Kweli mkuu unaota mchana bahati nzuri hizi kazi hazifanywi gizani quality ya BRT phase one kwenye material ni Bora zaidi ya hii Phase II hata vituo vya abiria havifanani kabisa.Labda useme ukweli kuwa wewe project zote zinajengwa Dsm na wewe unasimuliwa tuBRT ya tazara ni bora x2 ya ubungo ...brt ya ubungo imejengwa kifisadi fisadi bora wangejenga sawa sawa na yatazara ...kwanza ule mwinuko wa ukuta kuwa juu sana kabla ya nguzo ya kwanza ni kosa kubwa sana maana eneo ambalo hiyo brt ipo ni mjini kabisa hivyo kuharibu sura ya mji na kuzuia mzunguko wa hewa
Uswazi ume-spread kama cancer.You've just confirmed what most of your brothers and sisters have been denying here. That middle-incomers wenu wanaishi kwenye hizi mabanda
View attachment 2285006View attachment 2285007View attachment 2285008View attachment 2285009View attachment 2285010View attachment 2285011View attachment 2285012View attachment 2285013View attachment 2285014View attachment 2285015View attachment 2285017View attachment 2285018View attachment 2285019View attachment 2285020View attachment 2285021View attachment 2285022
Haya Sasa Putin amsaidie ndugu yake kamba yako ikiwa mikononi mwa mchina au Mrusi inakatika any timeNyomi ya watu inaingia ikulu ya Sri Lanka. Tatizo huyo rais ashatoroka. Ila waibe dhahabu watakazopata huko ndani.
Uchumi wenu ukikua watu watajenga nyumba nzuri.Serikali ipange huu mji upya tu ..hii ni aibu sana
Povu la nini sasa mdogo mdogo utazoea tuuata ndo hio link ya 5-7star hotels in mombasa.. kumbafu
THE 10 BEST Hotels in Mombasa, Kenya 2024 - Tripadvisor
Mombasa Accommodation: Find traveler reviews and candid photos for 118 Mombasa hotels on Tripadvisor.www.tripadvisor.com
View attachment 2285135
Yani everywhere you look ni uswazi. Nairobi has slums but you can't find such a big sprawl kama hizi za DarUswazi ume-spread kama cancer.
Ubavu upo sana and by the way Tz looses nothing from not selling to Kenya. We sell more in SADC.Hamna ubavu huo. Samia anataka kupiga pesa. Hana muda na vita vya Magufuli dhidi ya Kenya.
Sasa wewe kama unakaa kibera utazionea wapi hizo products.Tweet ya 2015 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] by the hii product hata sijawai kuiona. The only Azam product ambayo inajaribu Kenya ni ile energy drink ya blue, which is facing very stiff competition from local and international products.
They are going to be upgraded zinasubiria ujenzi wa BRT phase ya 3 uanzeThèse roads here need to be upgraded..
Kwahili la Kigoma umenena kabisa, barabara ya Nyakanazi Kigoma ilianza kipindi cha mwisho cha Kikwete ilianza kwa kasi sana mwamba alipoingia ngoma ikasimama ni hapa juzi tu ndo amsha amsha imeanza tena. Kwa wakazi wa Kigoma hasa mjini ukiongea habari za kumsifia mwamba utapigwa makofiUwanja wa ndege wa Kigoma ni Kikwete! JK alijenga runway! Huyo JPM alikuwa anajimilikisha miradi halafu alikuwa mpaka anaweka jiwe la msingi halafu kimya! Hizi barabara ni mama katoa fedha! JPM miradi ya Chato na Mwanza tu!
Tanzania had those buses in the 70s. They were phased out early 80s.Sasa nyinyi mlikua stone age[emoji1787]
Unless they act now mji mzima wataupoteza.Yani everywhere you look ni uswazi. Nairobi has slums but you can't find such a big sprawl kama hizi za Dar