Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makusanyo sio matumizi
 
Ni nyingi kwa mwaka husika
 
Tuliwaambia kwamba mmepigwa mkatuita haters ona sasa [Emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujui kitu hiyo tz sgr supports 250km/hr lakini wao wameamua kuanza na train za 160km/hr mahitaji ya spidi yakihtajika ni ku upgrade rolling stocks tuu elewa kilichoandikwa kabla ya kujitoa ufahamu.
 
Hawa Wakenya wana maisha magumu sn wallahi, angalia walivyo pauka, sura ngumu wote wamevaa mitumba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe endelea kupaka poda sijui unataka kufanana na dadako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nchi kubwa, watu wengi, city moja yenye CBD moja na makazi uchwara, alafu uchumi hafifu, watanzania hunichekesha wanavyo penda ubishi na domo domo, kumbe wanyonge duh😂😂😂😂
Watanzania wanafaa kua busy wanajenga nchi yao lakini ubaya wao wako busy wakitaka kujifananisha na Kenya wakati Kenya imewaacha kiuchumi na maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…